Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola yasababisha mechi kutibuka

Mechi kati ya Sierra Leone na Seychelles ya kufuzu kwa mkondo wa pili ya CAF mwakani imetibuka kwa hofu ya Ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nyuki yasababisha safari ya ndege kutibuka

Safari ya ndege ya shirika la Flybe la Uingereza ilitibuka baada ya nyuki kupenya ndani ya mitambo yake

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola haizuwii mechi Sierra Leone

Wakuu wa kandanda Sierra Leone wataka endelea na mechi za Kombe la Afrika hata kama kuna ebola kanda hiyo

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Morocco yataka mechi kuahirishwa.

Serikali ya Morocco imedaiwa kuomba mechi ya kufuzu katika michuano ya taifa bingwa afrika kuahirishwa kutokana na ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Ivory Coast kususia mechi

Ivory Coast huenda ikasusia mechi ya kufuzu kwa AFCON 2015 dhidi ya Sierra Leone ikihofia Ebola.

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yasababisha maafa Kilwa

WAKAZI wa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, wanakabiliwa na maafa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa kusababisha mashamba, nyumba za makazi na majengo ya shule za msingi na sekondari, kuharibiwa Diwani wa Kata ya Mandawa Hassani Nalinga, amesema hayo jana kwenye kikao cha Baraza la Madiwani akichangia hoja kutoka kwenye Kamati ya Jamii, Maendeleo na Mazingira.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yasababisha maafa DR Congo

Nchini Jahmuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mji wa Kinshasa, watu zaidi ya 20 wamefariki na nyumba kadhaa kujaa maji kutokana na mafuriko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Meli ya uokoaji yasababisha vifo

Furaha ya kuokolewa na hatimaye kufika Ulaya yasababisha mamia ya wahamiaji kufa kutokana na kuzama kwa boti yao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani