Ebola yatikisa Kenya
Shirika la Afya Duniani
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetahadharisha kuwa ukanda wa Afrika Mashariki uko katika kundi la pili lenye uwezekano wa kukumbwa na ugonjwa wa Ebola, kutokana na ukaribu wake na maeneo yaliyoathirika na mlipuko wa ugonjwa huo unaoenea kwa kasi.
Hali hiyo inatokana na Kenya kuwa kitovu cha usafiri wa ndege, huku wasafiri wengi wanaokwenda nchi za Afrika Magharibi wakipitia nchini humo.
Kutokana na hali hiyo, WHO imetoa onyo kali kuhusu kuenea kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Ebola yatikisa Moshi
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama amewaondoa hofu wakazi mji wa Moshi kutokana na taharuki iliyoukumba mji huo ya kuwapo mgonjwa anayehisiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya ugonjwa...
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Ebola yatikisa Afrika Magharibi
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Ebola yatikisa mfumo wa afya Liberia
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76913000/jpg/_76913763_pa5mr8jf.jpg)
Kenya 'at high risk' of deadly Ebola
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76988000/jpg/_76988298_76984833.jpg)
Kenya to deny entry to Ebola states
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Kenya katika hatari ya kupata Ebola
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76990000/jpg/_76990793_76990785.jpg)
VIDEO: Kenya to deny entry to Ebola states
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Ebola: Hasara kubwa kwa Kenya Airways
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Ebola:Kenya kuwatuma maafisa 170 wa afya