Ebola yatua Marekani
Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, katika mji wa Dallas, Texas.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Sep
Ebola yatua Senegal
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Ebola yatua A. Mashariki

mtanzania
Kigali, Rwanda
BAADA ya ugonjwa wa Ebola kuripotiwa katika nchi za Afrika Magharibi sasa umebisha hodi katika nchi za Afrika Mashariki.
Kwa mara ya kwanza mgonjwa mwenye dalili za ugonjwa huo hatari amegundulika Rwanda na tayari amewekwa kwenye sehemu maalumu kwa uchunguzi wa madaktari kubaini kama ana virusi vya ugonjwa huo.
Wakati ugonjwa huo ukiingia Rwanda, nchini Tanzania hali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam inaonyesha hakuna udhibiti wa...
11 years ago
Habarileo02 Oct
Ebola waingia Marekani
MGONJWA wa kwanza wa virusi hatari vya ebola ambaye pia ni wa kwanza nje ya bara la Afrika, amegundulika nchini Marekani katika mji wa Dallas, Texas. Maofisa katika Kituo cha Afya cha Texas katika Hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa huyo mwanamume ambaye hakutajwa jina lake, ametengwa katika hospitali hiyo.
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Ebola yamuua daktari Marekani
11 years ago
Vijimambo09 Oct
MGONJWA WA EBOLA MAREKANI AFARIKI

Thomas Eric Duncan aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola huko nchini Liberia ,alikuwa amewekwa katika karantini katika hospitali moja ya mjini Dallas ili kupewa dawa za majaribio.
Awali ,Marekani ilitangaza masharti mapya ya usalama katika viingilio vyote vya taifa hilo ili kuwakagua wasafiri walio na dalili za ugonjwa huo.
Zaidi ya watu 3000 wamefariki na wengine...
11 years ago
BBCSwahili17 Oct
Jeshi la Marekani kupambana na Ebola
11 years ago
BBCSwahili28 Oct
Ebola:Marekani yapinga karantini
11 years ago
BBCSwahili08 Sep
Marekani kusaidia kupambana na Ebola
11 years ago
StarTV13 Oct
Mwingine apatikana na Ebola Marekani.
Mfanyikazi mwengine wa kituo cha afya aliyemtibu Thomas Dancun kabla ya kifo chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.
”Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili kuripotiwa ,na tumejitayarisha kwa uwezekano huo”alisema Daktari David Lakey ambaye ni kamishna wa idara ya afya katika jimbo la Texas.
Marehemu Dancun ambaye aliambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia ,alifariki katika hospitali ya Dallas siku ya jumatano.
Hatahivyo jina la muhudumu...