Ebola yatua A. Mashariki
mtanzania
Kigali, Rwanda
BAADA ya ugonjwa wa Ebola kuripotiwa katika nchi za Afrika Magharibi sasa umebisha hodi katika nchi za Afrika Mashariki.
Kwa mara ya kwanza mgonjwa mwenye dalili za ugonjwa huo hatari amegundulika Rwanda na tayari amewekwa kwenye sehemu maalumu kwa uchunguzi wa madaktari kubaini kama ana virusi vya ugonjwa huo.
Wakati ugonjwa huo ukiingia Rwanda, nchini Tanzania hali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam inaonyesha hakuna udhibiti wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Sep
Ebola yatua Senegal
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Ebola yatua Marekani
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Ebola: Hofu yatanda Afrika Mashariki
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
DRC yatangazwa kuudhiditi kabisa ugonjwa wa Ebola eneo la Mashariki
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--PHe5LdsWVc/VTpv_cXMssI/AAAAAAAHS_c/vN4axDnjy4c/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-04-24%2Bat%2B7.30.30%2BPM.png)
MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
‘I Do’ ya Dyna yatua sokoni
MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Dyna Nyange ‘Dyna’, leo anatarajia kusambaza video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘I Do’. Dyna alisema video...
9 years ago
Mtanzania07 Dec
TRA yatua Bakwata
*Wadaiwa kuingiza magari 82 kwa misamaha ya kodi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RUNGU la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) limeonekana kushika kasi na safari hii limeangukia kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Kwa mujibu wa barua ya TRA, Bakwata imetakiwa kutoa maelezo ya ongezeko la maombi ya msamaha wa kodi katika utoaji wa magari yanayopitishwa katika taasisi hiyo ya dini, kutoka nje ya nchi.
Hayo yamo katika barua ya TRA ya Novemba 19, mwaka huu kwenda kwa Katibu Mkuu wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rFFi-SX8PjX7-RCaOoJBTWmX2j8t4F*mEMY7e0iQTpqc-eJk1Vn6lPHg3Y*9BpF4Y5EHx6Kts54zHw7b0sydkW-jhHHBV7IU/yanga.jpg?width=650)
YANGA YATUA PEMBA
10 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Drive Dentsu yatua Dar
KAMPUNI ya Drive Dentsu inayojihusisha na masuala ya utengenezaji wa matangazo, imefungua ofisi zake mpya jijini Dar es Salaam ikiwa ni jitihada za kusogeza huduma zake kwa wateja wake katika...