Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘I Do’ ya Dyna yatua sokoni

MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Dyna Nyange ‘Dyna’, leo anatarajia kusambaza video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘I Do’. Dyna alisema video...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dyna aisambaza video ya ‘Mimi na Wewe’

MSANII anayetamba katika tasnia ya muziki wa Bongo fleva anayeuwakilisha Mkoa wa Morogoro, Mwanaisha Nyange ‘Dyna’ amesambaza video ya ngoma yake inayojulikana kwa jina la ‘Mimi na Wewe’. Mbali na...

 

10 years ago

GPL

DYNA NYANGE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya, Dyna Nyange (kulia) akifanya mahojiano na mtangazaji wa Kipindi cha Mtu Kati cha Global TV Online, Mourad Alfah leo. Dyna akifunguka katika Studio za Global TV Online. Dyna akizidi kuwekwa mtu kati na Mourad Alfah.…

 

10 years ago

Mtanzania

Afande Sele, Mpoto, Dyna watoa elimu ya misitu

MpotooooNA AZIZA MASOUD
MTANDAO wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (MJUMITA), umerekodi wimbo maalumu wa elimu juu ya uhamasishaji wa utunzaji na kuzuia uharibifu wa misitu.
Wimbo huo umeimbwa na wasanii; Mrisho Mpoto, Suleiman Msindi (Afande Sele) na Dyna Nyange, huku maudhui yake yakilenga elimu ya utunzaji wa misitu kutokana na umuhimu wake kwa jamii.
Akizindua wimbo huo pamoja na video yake, mjumbe wa Kikosi cha Taifa cha Mkulumi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,...

 

11 years ago

Michuzi

Video: Mr. Blue, Dyna, Barnaba Boy na Amini warekodi wimbo wa kampeni ya dereva makini 2014

Ni ukweli usiopingika kuwa ajali zimekuwa ni mwiba mchungu kwa familia, jamii na taifa kwa ujumla unaoacha kilio, walemavu, yatima, wajane na wagane kila kukicha. 
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Barnaba Boy na Dyna Nyange wameshiriki kurekodi wimbo wao utakaotumika kwenye kampeni ya dereva makini inayolenga kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. 
Wimbo huo umerekodiwa na...

 

10 years ago

GPL

YANGA YATUA PEMBA

Wachezaji wa timu ya Yanga wakifanya mazoezi (Picha na Maktaba). Msafara wa watu 35 ukiwa na wachezaji 27 na benchi la Ufundi 8 wa timu ya Young Africans tayari umeshawasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kujiandaa na mikikimikiki ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2014/2015. Kocha mkuuu Marcio Maximo na kikosi chake wamefikia katika hoteli ya kitalii ya Pemba Misali iliyopo eneo la Wesha na watakua wakijifua kwa...

 

11 years ago

Mtanzania

Ebola yatua A. Mashariki

mtanzania

mtanzania

Kigali, Rwanda

BAADA ya ugonjwa wa Ebola kuripotiwa katika nchi za Afrika Magharibi sasa umebisha hodi katika nchi za Afrika Mashariki.

Kwa mara ya kwanza mgonjwa mwenye dalili za ugonjwa huo hatari amegundulika Rwanda na tayari amewekwa kwenye sehemu maalumu kwa uchunguzi wa madaktari kubaini kama ana virusi vya ugonjwa huo.

Wakati ugonjwa huo ukiingia Rwanda, nchini Tanzania hali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam inaonyesha hakuna udhibiti wa...

 

9 years ago

Mtanzania

TRA yatua Bakwata

Mufti Abubakar Zuberi*Wadaiwa kuingiza magari 82 kwa misamaha ya kodi

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RUNGU la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) limeonekana kushika kasi  na safari hii limeangukia kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).

Kwa mujibu wa barua ya TRA, Bakwata imetakiwa kutoa maelezo ya ongezeko la maombi ya msamaha wa kodi katika utoaji wa magari yanayopitishwa katika taasisi hiyo ya dini, kutoka nje ya nchi.

Hayo yamo katika barua ya TRA ya Novemba 19, mwaka huu  kwenda kwa Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yatua Marekani

Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, katika mji wa Dallas, Texas.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yatua Senegal

Waziri wa Afya wa Senegal amethibitisha kua ugonjwa wa Ebola umekwisha tua nchini mwake .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani