Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwingine apatikana na Ebola Marekani.

Mfanyikazi mwengine wa kituo cha afya aliyemtibu Thomas Dancun kabla ya kifo chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 
”Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili kuripotiwa ,na tumejitayarisha kwa uwezekano huo”alisema Daktari David Lakey ambaye ni kamishna wa idara ya afya katika jimbo la Texas.

 
Marehemu Dancun ambaye aliambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia ,alifariki katika hospitali ya Dallas siku ya jumatano.

 
Hatahivyo jina la muhudumu...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Mgonjwa wa kwanza wa Ebola apatikana Marekani.

Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, imethibitishwa katika mji wa Dallas, Texas.

 
Maafisa katika kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa ambaye hakutajwa ametengwa katika hospitali hiyo.

 
Mgonjwa huyo anasemekana kuwa ni mtu anayeaminika kuambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia kabla ya kuonyesha dalili za ugonjwa huo.

 
Zaidi ya watu 3,000 tayari wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola huko Afrika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mwengine apatikana na Ebola Marekani

Mfanyikazi mwengine wa kituo cha afya aliyemtibu Thomas Dancun kabla ya kifo chake amepatikana na virusi vyaugonjwa wa ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Muuguzi mwingine ana Ebola Marekani

Mhudumu mwingine wa afya mwenye umri wa miaka 26 nchini Marekani amepatikana na ugonjwa wa Ebola katika jimbo la Texas.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgonjwa mwingine wa Ebola Ujerumani

Hospitali moja mjini Frankfurt Ujerumani inamtibu mgonjwa wa Ebola baada ya kufikishwa nchini humo nyakati za usiku chini ya ulinzi mkali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kijana mwingine mweusi auawa Marekani

Maandamano makubwa yametokea nchini Marekani katika mji wa St Louis ,baada ya askari kumpiga risasi kijana mweusi .

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi mwingine aua mtu mweusi, Marekani

Wakuu katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wamemhukumu Afisa mmoja wa polisi mweupe, kwa kosa la mauaji.

 

10 years ago

Habarileo

Ebola waingia Marekani

MGONJWA wa kwanza wa virusi hatari vya ebola ambaye pia ni wa kwanza nje ya bara la Afrika, amegundulika nchini Marekani katika mji wa Dallas, Texas. Maofisa katika Kituo cha Afya cha Texas katika Hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa huyo mwanamume ambaye hakutajwa jina lake, ametengwa katika hospitali hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yatua Marekani

Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, katika mji wa Dallas, Texas.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kusaidia kupambana na Ebola

Marekani imesema itapeleka vifaa vya kijeshi, kusaidia kupambana na ugonjwa wa Ebola uliozuka katika nchi za Afrika Magharibi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani