Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtu mwengine apatikana na Ebola Marekani

Mfanyikazi mwengine wa kituo cha afya aliyemtibu Thomas Dancun kabla ya kifo chake amepatikana na virusi vyaugonjwa wa ebola

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Mwingine apatikana na Ebola Marekani.

Mfanyikazi mwengine wa kituo cha afya aliyemtibu Thomas Dancun kabla ya kifo chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 
”Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili kuripotiwa ,na tumejitayarisha kwa uwezekano huo”alisema Daktari David Lakey ambaye ni kamishna wa idara ya afya katika jimbo la Texas.

 
Marehemu Dancun ambaye aliambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia ,alifariki katika hospitali ya Dallas siku ya jumatano.

 
Hatahivyo jina la muhudumu...

 

10 years ago

StarTV

Mgonjwa wa kwanza wa Ebola apatikana Marekani.

Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, imethibitishwa katika mji wa Dallas, Texas.

 
Maafisa katika kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa ambaye hakutajwa ametengwa katika hospitali hiyo.

 
Mgonjwa huyo anasemekana kuwa ni mtu anayeaminika kuambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia kabla ya kuonyesha dalili za ugonjwa huo.

 
Zaidi ya watu 3,000 tayari wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola huko Afrika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bush mwengine ataka urais Marekani

Aliyekuwa Gavana wa Florida kupitia tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani Jeb Bush anajiandaa kuwania urais

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari mwengine wa Ebola aaga dunia

Ripoti kutoka Sierra Leone zinasema kuwa daktari mwengine amefariki kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yauwa daktari mwengine S-Leone

Madaktari 10 sasa wamekufa kutokana na Ebola nchini Sierra Leone peke yake

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja awaua wanajeshi 4 wa Marekani

Mtu mwenye silaha amewaua askari wanne wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika mji wa Chattanooga, Tennessee.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wamuua mtu asiye na makao Marekani

Polisi wamempiga risasi na kumuua mtu asiye na makao mjini Los Angels Marekani

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi mwingine aua mtu mweusi, Marekani

Wakuu katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wamemhukumu Afisa mmoja wa polisi mweupe, kwa kosa la mauaji.

 

10 years ago

Vijimambo

ANGALIA TOFAUTI YA MAREKANI NA TANZANIA MTU AKIWA AMESHAHUKUMIWA KWENDA MAGEREZA

Hapa Cheka ameshahukumiwa kwenda magereza miaka 3 anaongea na simu na anasindikizwa kama anaenda chooni vile na simu anatumia kuaga ndugu na marafiki bongo raha saana.Hapa ni Marekani mtuhumiwa ufungwa pingu hadi miguuni akisikiliza kesi yake au akisha hukumiwa upelekwa akiwa hivi kwenye gari la magereza au hata mahabusu. Tafauti kati ya bongo na Marekani ndiyo hii polisi wanavyo watreat watuhumiwa wakiwa mahakamani na baada ya kuhukumiwa.Hapa mtuhumiwa akiwa mahakamani pingu mikononi.Hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani