Ebola:Daktari aaga Nigeria
Serikali ya Nigeria imethibitisha kutokea kifo cha daktari mmoja kutokana na ugonjwa wa Ebola katika mji wa Port Harcout nje ya mji wa Lagos.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Aug
Daktari mwengine wa Ebola aaga dunia
Ripoti kutoka Sierra Leone zinasema kuwa daktari mwengine amefariki kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Daktari aambukizwa Ebola nchini Nigeria
Daktari aliyemtibu mgonjwa wa kwanza kupatikana na Ebola nchini Nigeria ameambukizwa ugonjwa huo.
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
Daktari aliyetibiwa na Zmapp aaga Liberia
Daktari aliyetibiwa na dawa inayofanyiwa majaribio ya Zmapp nchini Liberia ameaga dunia.
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Ebola yamuua daktari Marekani
Daktari Martin Salia kutoka nchini Sierra Leone aliyekuwa anapokea matibabu ya Ebola nchini Marekani amefariki.
11 years ago
BBCSwahili27 Jul
Daktari afariki na Ebola Liberia
Idara ya afya nchini Liberia imetangaza kuwa Daktari mmoja wa Ebola amefariki kutokana na viini vya ugonjwa huo.
11 years ago
BBCSwahili03 Aug
Daktari aliyeambukizwa Ebola asafarishwa
Daktari wa Marekani aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola amewasili nchini humo kutoka Liberia ili kupata matibabu.
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Daktari: Mgonjwa hakufa kwa ebola
Kaimu mganga mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Yusuph Bwire amesema matokeo ya uchunguzi wa sampuli yaliyotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yanaonyesha kwamba Salome Richard hakufariki dunia kwa ugonjwa wa ebola bali kwa tatizo la ini.
10 years ago
BBCSwahili07 Dec
Ebola yauwa daktari mwengine S-Leone
Madaktari 10 sasa wamekufa kutokana na Ebola nchini Sierra Leone peke yake
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
Ebola:Daktari adhurika Sierra Leone
Daktari aliyeongoza mapambano dhidi ya Ebola amekutwa na Virusi vya ugonjwa huo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania