Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola:Watoto wanavyotengwa A.Magharibi

UN inakadiria watoto 5000 nchini Liberia, Guinea na Sierra Leone, wamepoteza mzazi mmoja au wawili kutokana na ugonjwa wa Ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watafiti na dawa ya Ebola: A.Magharibi

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema kuwawataalam wanaendelea kufanya utafiti wa kupata dawa ya Ebola.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yatikisa Afrika Magharibi

Homa ya Ebola wakati huu inasemekana kuwa kali zaidi kuliko wakati mwingine wowote

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola kutokomezwa Afrika magharibi

Nchi za Afrika magharibi zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na ugonjwa wa Ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola :KQ itaendelea kuenda A.Magharibi

Kenya Airways inasisitiza itaendelea na safari kuelekea maeneo yenye Ebola licha ya shinikizo la wadau nchini Kenya.

 

11 years ago

Mwananchi

Ebola yaendelea kuitesa Afrika Magharibi

Wakati ugonjwa wa ebola ulipovamia Kijiji cha Pujeh kilichopo nchini Sierra Leona, wanakijiji kama kawaida yao unapotokea ugonjwa wowote hukimbilia kwa mganga wa kienyeji: walikimbilia kwa mganga kutaka kujua tatizo, lakini hakuna aliyepona.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yapoteza ajira,Afrika Magharibi

Zaidi ya nusu ya raia wa Liberia waliokuwa na ajira mara baada ya mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola hawana ajira tena kwa sasa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Hofu yaendelea kutanda A.Magharibi

Kuna hofu kwamba mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, katika kanda ya Afrika Magharibi, utaendelea kuwa mbaya sana hadi kanda hiyo itakapopata nafuu

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Annan akosoa mataifa ya Magharibi

Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amekosoa ambavyo mataifa ya magharibi yameshughulikia janga la Ebola.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania 5 kutibu ebola Afrika Magharibi

MADAKTARI watano wa afya wamejitolea kwenda kutoa huduma katika baadhi ya nchi za Afrika Magharibi zilizoathiriwa na ugonjwa wa ebola. Wataalamu hao walioondoka jana, baadhi yao walizungumza na waandishi wa habari katika mkutano kati ya Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mmbando na vyombo vya habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani