Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ehh! Wafurahia Diamond kukosekana msiba wa Gurumo

Marehemu Muhidin Gurumo(kushoto) na Nasibu Abdul ‘Diamond’. Na Hans Mloli
HALI ya kustaajabisha imetokea hivi karibuni katika msiba wa nguli wa muziki wa dansi, Muhidin Gurumo baada ya baadhi ya watu waliohudhuria kwenye mazishi hayo kufurahishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kutokuwepo kwenye shughuli hiyo. Msiba huo uliofanyika nyumbani kwa marehemu Mabibo jijini, ulihudhuriwa na watu wengi maarufu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUST IN: JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI HII

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Marehemu Gurumo, aliyefariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matatizo ya moyo, atakumbukwa kama Baba wa Muziki wa dansi nchini akianzia miaka ya 1960 na bendi mbalimbali ikiwemo NUTA Jazz na kumalizia...

 

11 years ago

GPL

JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI YA JANA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya jana April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pole Bw. Abdallah Muhidin Gurumo, mtoto wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo...

 

11 years ago

Michuzi

MAENDELEO YA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE MABIBO MCHANA WA LEO

Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba wa nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini na aliekuwa kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Marehemu Mzee Muhidin Maalim Gurumo wakiwa nyumbani kwake Mabibo (Tabata Makuburi),leo.Shughuli zote za Mazishi zinaendelea nyumbani hapo.Tarati bu za Mazishi zimefanyika,yatafanyika kesho Aprili 15,2014 kwenye Makaburi yaliopo kwenye kijiji cha Masaki,Kisarawe mkoani Pwania.  Mmoja wa wanamuziki wa zamani na aliewahi kufanya kazi Pamoja na Marehemu Mzee Muhidin Maalim...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza waombolezaji msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Picha na OMR

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

11 years ago

GPL

GURUMO AFA NA ZAWADI YA DIAMOND

Na Waandishi Wetu
AMA kweli ajuaye siku ya binadamu kufa ni Mungu peke yake, kama wanadamu nao wangepewa uwezo huo, kuna mipango ingekuwa haipangwi kwa kujua haitatimia, ndivyo ilivyotokea kwa marehemu Muhidin ‘Maalim’Gurumo ambaye ameaga dunia akiwa na zawadi aliyotaka kumpa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’. Marehemu Muhidin ‘Maalim’ Gurumo wakati akikabidhiwa ufunguo wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Na Diamond Wafurahia Usiku Mmoja Jijini Kampala,Uganda

Usiku wa jana tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa ya mwnamziki Jose Chameleone iliyofahamika kama  1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party.

Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana  matukio hayo kama ifuatavyo;

Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa masanii Jose Chameleone alitokea nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani