ELIKEM NA POKELLO WA BBA SEASON 8 WAFUNGA NDOA
Elikem Kumordzi na Pokello Nare katika pozi wakati wa ndoa yao. WAPENZI Elikem Kumordzi na Pokello Nare waliokutana katika Jumba la Big Brother Africa season 8 hatimaye wamefunga ndoa. Wapenzi hao wamefunga ndoa ya kimila iliyofanyika huko Harare, Zimbabwe wikiendi iliyopita. Wanandoa hao wamepanga kuwa na harusi mbili moja ikifanyika nyumbani kwa bibi harusi (Pokello) huko Zimbabwe na ya pili ikifanyika nyumbani kwa bwana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Feb
Couple ya Pokello na Elikem kuja na Reality Tv show ya maisha yao baada ya BBA ‘Our World After’
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
NMB, MaxMalipo ‘wafunga ndoa’
BENKI ya National Microfinance (NMB) na Maxcom Tanzania wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara yatakayoiwezesha Benki hiyo kutumia mtandao wa mawakala wa Maxcom unaojulikana kama MaxMalipo. Akizungumza katika hafla ya...
9 years ago
GPLFLAVIANA MATATA NA MASSAWE WAFUNGA NDOA
10 years ago
GPLWAMAREKANI WAFUNGA NDOA KATIKA MLIMA KILIMANJARO
10 years ago
VijimamboWAMAREKANI WAFUNGA NDOA KWENYE MLIMA KILIMANJARO
5 years ago
BBCSwahili12 Apr
Virusi vya Corona: Maharusi wafunga ndoa mtandaoni kuepuka maambukizi
10 years ago
AllAfrica.Com11 Aug
Pokello Shoes in Vogue
Pokello Shoes in Vogue
AllAfrica.com
'Pokello shoes' as they are commonly called by fashion lovers, got their name from famous former Big Brother Africa housemate, Pokello Pornello a Tanzanian shoe-addict. These shoes are said to be produced and named after various female housemates of ...
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Atarajiwa New Season ya Coke Studio Season 3
Duru za kuaminika zatueleza ya kwamba huu mwaka wasanii wakubwa bongo kama Ali Kiba anayejulikana kama mfalme wa muziki bongo, msanii maarufu zaidi, wanatarajiwa kujumuika katika new season ya Coke Studio.Mwingine aliyeandikia bongo hip hop love song pia anaweza kua kati ya wasanii ambao wanatarajiwa kuungana na wasanii kutoka Kenya, Uganda, Mozambique na Nigeria.mwaka huu.
Celebrities wengi kutoka bongo wameonekana Nairobi...
10 years ago
MichuziMAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...