ELIMU NI MUHIMU KUDHIBITI SUMUKUVU NCHINI
Kaimu Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo Dkt .Honest Kessy (aliyevaa tai) akifungua mkutano wa wadau kujadili Mkakati wa Taifa wa Mawasilino Kudhibiti Sumukuvu uliofanyika Morogoro leo.Wa kwanza kushoto ni Clepin Josephat Mratibu wa TANIPAC na kulia wa kwanza ni Bw.Hamad Masoud Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula Zanzibar na Dkt.Happy Magoha.
Kaimu Mkurugenzi wa Usalama wa chakula toka wizara ya Kilimo Dkt.Hones Kessy akifungua mkutano wa wadau kujadili rasimu ya Mkakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Baraza la Mawaziri SADC, Laridhia Usafirishaji wa Bidhaa Muhimu, Kudhibiti Maambukizi ya Covid-19

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Akizungumza katika Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo Nje, Mambo ya Ndani, Fedha na Mipango, Viwanda na Utalii wa SADC, kuhusu mwenendo wa...
5 years ago
CCM Blog
BARAZA LA MAWAZIRI SADC, LARIDHIA USAFIRISHAJI WA BIDHAA MUHIMU, KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA CORONA COVID-19


10 years ago
Mwananchi02 Dec
Tumeiweka kando misingi muhimu ya elimu
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Elimu kwa jamii muhimu kutambua dawa bandia
KAZI ya kuhakikisha afya ya mlaji na mtumiaji wa bidhaa inakuwa salama inafanywa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Tume ya Ushindani na Mamlaka ya Viwango (TBS). Kwa sasa...
11 years ago
Habarileo20 Aug
Butiku: Elimu kwa umma muhimu kupata Katiba
MJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku, ametaka elimu kuhusu mchakato wa Katiba itolewe kwa Watanzania walio wengi, ili siku ya kupiga kura wafanye hivyo kwa dhamira yao wenyewe.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
OMARI KIPUTIPUTI: Elimu ya biashara muhimu kwa vijana
“ILI taifa liweze kuwa na maendeleo ni lazima liwe na watu wasomi wanaoweza kufanya kazi zao kwa kuzalisha mali badala ya kukaa na kusubiria misaada kutoka kwa wafadhili.” Hiyo ni...
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Stella Jairosi: Uchaguzi huu ni ‘karata’ muhimu ya kunusuru elimu
10 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore