Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Elimu ya msingi iwe zaidi ya darasa la saba’

Zainab GamaMJUMBE mteule wa Bunge Maalumu, Zainab Gama ametaka Katiba itamke elimu ya msingi iwe zaidi ya darasa la saba kuwezesha wanaohitimu kuwa wamevuka umri wa hatari ya kupata mimba za utotoni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI GENIUS KING’S JIJINI DAR

Wahitimu wa darasa la saba Fredrick Robert (kulia) na Rania Hante kutoka shule ya Msingi Genius King’s iliyopo jijini Dar es salaam wakisoma risala yao kwa Mgeni Rasmi Mhandisi Michael Mrema aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa mahafali ya nne ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika hivi karibuni shuleni hapo. Mgeni Rasmi Mhandisi Michael Mrema akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa mahafali ya nne ya kuwaaga...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA ST.MARY'S INTERNATIONAL SCHOOL JIJINI MBEYA

Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Mary's iliyoko eneo la Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo.Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Mary's Forest Jijini MbeyaWazazi na waleziUongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo.
Kwa picha zaidi na Jamiimoja blog BOFYA HAPA

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya msingi Green Hill ya jijini Dar yafanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba

Na:George Binagi-GB Pazzo

Shule ya Msingi Green Hill iliyopo Ilala Mkoani Dar es salaam imekuwa miongoni mwa shule bora zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba, uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu kote nchini.

Katika Matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini NECTA Dk.Charles Msonde, ufaulu wa Kitaifa mwaka huu umepanda kwa asilimia 10.85 kutoka asilimia 56.99 za mwaka jana, ambapo wanafunzi waliofaulu ni 518,034 kati ya 775,273 waliosahiliwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Watahiniwa darasa la saba zaidi ya 700,000 kuanza mitihani kesho

Wanafunzi 775,729 walioandikishwa kufanya mtihani wa darasa la saba nchini, kesho wanaanza kufanya mtihani huo, huku idadi ya watahiniwa ikipungua ukilinganisha na walioandikishwa mwaka jana.

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA OCODE LAWAJENGEA DARASA JIPYA KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA AWALI SHULE YA MSINGI KIBWEGERE



Mkurugenzi wa shirika la Ocode Joseph Jackson wa kati kati akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Manispaa ya ubungo Beatrice Dominic  wa kushoto pamona na Afisa elimu wa manispaa hiyo  kulia wakiwa wameshikilia upete kwa ajili ya kuukata ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa darasa moja la wanafunzi wa elimu ya awali Kibwegere ambalo limetolewa na shirika...

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani