Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu ya ufundi, ujuzi mpya vyahimizwa

Wanafunzi wanaohitimu elimu ya juu kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini wametakiwa kutobweteka na shahada  wanazozipata kwani siyo mwisho wa elimu, ujuzi na uelewa wa mambo.

Wamehimizwa kujiongezea elimu ya ufundi na ujuzi mpya katika fani mbalimbali kwani kufanya hivyo kutawaongezea fursa za ajira na kupanua wigo wa ujasiriamali.

Katika mahafali ya 6 chuo kikuu cha Dodoma UDOM Mwenyekiti wa baraza la chuo hicho  Dkt. Balozi  Agustistine Mahiga amesema dunia ya leo ni ya ushindani mkubwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini wametembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AWATUNUKU VYETI WADAU WA ELIMU

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenester Mhagama akiongea na Global TV Online leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar wakati wa kutunuku vyeti wadau wa elimu. Wanahabari wakimhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Rosemary Lulabuka baada ya zoezi la kutunuku vyeti wadau wa elimu leo kwenye Hoteli ya…

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA OMAN KUHUSU ELIMU YA JUU

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi , Mhe, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza na Balozi wa OMan ndugu H.E. Saoud Ali Ruqqishi kuhusu ushirikiano baina ya Oman na Tanzania katika Elimu ya juu.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Msekwa: Kisima hai cha elimu, ujuzi Tanzania

>Wakati Tanzania inapata uhuru wake mwaka 1961, haikuwa na wasomi wengi ila wa kuhesabu, hasa wa ngazi ya chuo kikuu.

 

9 years ago

Michuzi

VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

China kufadhili wanafunzi elimu ya ufundi

NA NTAMBI BUNYAZU
Mjumbe wa Baraza la Ushauri wa Kisiasa la China, Dk. Annie Wu, amesema atatoa ufadhili wa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Kitanzania kwenda kusoma elimu ya ufundi nchini humo.
Alisema lengo la kufanya hivyo ni kukuza na kudumisha uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na China.
Dk. Wu amekuja nchini kwa mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete, ambapo amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome.
Katika mazungumzo hayo alimwambia...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuimarisha elimu ya ufundi miradi mikubwa

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama amesema serikali inafanya uwekezaji wa elimu ya ufundi kwenye maeneo yenye miradi mikubwa kama gesi, makaa ya mawe na yalipogunduliwa madini ya urani.

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA AIRTEL TRACE APATA UJUZI MPYA TOKA KWA AKON

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya akiongeana mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga wakatialipotembelea ofisi za Airtel mara baada ya kuwasili kutoka nchiniMarekani alipoenda kurekodi video yake na kupata mafunzo kutoka kwamwanamuzi nguli Akon. Safari hii ni moja kati ya zawadi ya kufanyavideo na Akon pamoja na mafunzo alizipata mara baada ya kuibukamshindi wa shindano hilo Afrika . Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani