Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Enyema ajiondoa kutoka kikosi cha Nigeria

Kipa wa Nigeria Vincent Enyema ajiondoa kutoka kikosi cha Nigeria kitakachocheza na Tanzania Jumamosi kufuatia kifo cha mamake

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kikosi cha Marekani kusaidia Nigeria

Marekani imetangaza kwamba imetuma kikosi cha wataalamu nchini Nigeria kusaidia kuwatafuta wasichana takriban 200 wa shule waliotekwa nyara mwezi uliopita na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.

Rais Barack Obama ameshutumu utekaji nyara wa wasichana hao na kusema kuwa mataifa yanapaswa kufanya kazi kwa pamoja ili kulikomesha Boko Haram.

Picha :Rais Barack Obama wa Marekani aliyeamuru msaada wa kijeshi na vifaa kuwatafuta wasichana Nigeria.

obama pics“Tayari tumetuma kundi letu Nigeria. Wamekubali...

 

11 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: Kikosi cha pamba FC "TP LINDANDA" ya mwanza

Kikosi cha kazi cha Pamba FC a.k.a "TP Lindanda" ya Mwanza iliyokuwa moto wa kuotea mbali enzi zake. Mdau mwenye kukumbuka majina yao msaada tutani tafadhali

 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nigeria watembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw.Elibariki Maleko(katikati) akizungumza kuukaribisha Ujumbe kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipokutana na Watendaji wa Wizara kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu Sera ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa. Ujumbe huo unaongozwa na Brigedia Generali Jimoh (wa pili kushoto) na upo...

 

10 years ago

Michuzi

Kikosi cha muziki mnene cha EFM 93.7 chatoka sare na mlandizi veteran

 Timu ya soka ya Muziki Mnene ya EFM 93.7 (jezi nyeupe) wikiendi iliyopita ilikuwa Mlandizi mkoani Pwani kucheza mchezo wa kirafiki na Mlandizi Veteran ambapo matokeo yalikuwa 0-0. Hiyo ni katika mwendelezo wa kupeleka muziki mnene wa kituo hicho machachari cha redio kwa wananchi, Nahodha wa Muziki Mnene Dennis Ssebo akiongoza kikosi kazi chake kusalimiana na wenyeji wao Mlandizi veterans kabla ya kuanza kwa mtanange wao huko MlandiziWananchi wakishudia mpambano wa Muziki Mnene na Mlandizi...

 

5 years ago

Bongo5

Hiki ndio kikosi cha PFA cha wachezaji 11 bora Uingereza msimu huu

Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.

Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.

Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli na Harry Kane. Wachezaji wengine...

 

11 years ago

Michuzi

NEWZZZ ALERT:KIKOSI CHA UOKOAJI TANAPA CHAMNASUA MTALII ALIYENASA KILELE CHA MAWENZI

HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA TAARIFA KWA UMMA
MTALII ALIYEKWAMA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO AOKOLEWA.
Kikosi cha Uokoaji katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kimefanikiwa kumuokoa mtalii Bi. Jeanne Traska (32) kutoka Ujerumani pamoja na muongoza wageni Athuman Juma ambao jana walikwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro. Kikosi cha Uokoaji cha TANAPA kiliweza kufika eneo la kilele cha Mawenzi na kwa kutumia mbinu za uokoaji za kisasa kabisa kiliweza kuwanasua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani