Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikosi cha Marekani kusaidia Nigeria

Marekani imetangaza kwamba imetuma kikosi cha wataalamu nchini Nigeria kusaidia kuwatafuta wasichana takriban 200 wa shule waliotekwa nyara mwezi uliopita na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.

Rais Barack Obama ameshutumu utekaji nyara wa wasichana hao na kusema kuwa mataifa yanapaswa kufanya kazi kwa pamoja ili kulikomesha Boko Haram.

Picha :Rais Barack Obama wa Marekani aliyeamuru msaada wa kijeshi na vifaa kuwatafuta wasichana Nigeria.

obama pics“Tayari tumetuma kundi letu Nigeria. Wamekubali...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Je Marekani imechelewa kusaidia Nigeria?

Ni wiki tatu tangu wasichana zaidi ya 200 kutekwa nyara na Boko Haram nchini Nigeria, Je Marekani imechelewa kusaidia?

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kusaidia Nigeria kwa wasichana

Marekani imetangaza kwamba imetuma kikosi cha wataalamu nchini Nigeria kusaidia kuwatafuta wasichana takriban 200 waliotekwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Enyema ajiondoa kutoka kikosi cha Nigeria

Kipa wa Nigeria Vincent Enyema ajiondoa kutoka kikosi cha Nigeria kitakachocheza na Tanzania Jumamosi kufuatia kifo cha mamake

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani

ZANZIBAR STARS YAINGIA MASHINDANO YA KOMBE LA EAST AFRIKA DIASPORA DMV Thursday, September 3, 2015 Kwamara nyengine tena timu ya Zanzibar Stars Diaspora Nchini Marekani, imejianda rasmi katika mashindano ya Mpira wa Miguu Diaspora Afrika Mashariki […]

The post Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Marekani wakabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la Polisi kikosi cha maji nchini

Mkuu wa Ushirikiano wa Usalama kwa Ubalozi wa Marekani Tanzania, Lt.Kevin Balisky akisoma risala mbele ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima wakati wa halfa ya kukabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la maji, masaada huo umetolewa na Serikali ya Marekani kupitia mradi wa AFRICO,leo jijini Dar es salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Pereira Silima, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika halfa ya kukabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kufadhili kikosi dhidi ya B.Haram

Marekani imeahidi kuwa itafadhili kikosi cha jeshi kilichoundwa na mataifa 5 ya Magharibi mwa Afrika kukabiliana na Boko Haram

 

9 years ago

Michuzi

Kikosi cha muziki mnene cha EFM 93.7 chatoka sare na mlandizi veteran

 Timu ya soka ya Muziki Mnene ya EFM 93.7 (jezi nyeupe) wikiendi iliyopita ilikuwa Mlandizi mkoani Pwani kucheza mchezo wa kirafiki na Mlandizi Veteran ambapo matokeo yalikuwa 0-0. Hiyo ni katika mwendelezo wa kupeleka muziki mnene wa kituo hicho machachari cha redio kwa wananchi, Nahodha wa Muziki Mnene Dennis Ssebo akiongoza kikosi kazi chake kusalimiana na wenyeji wao Mlandizi veterans kabla ya kuanza kwa mtanange wao huko MlandiziWananchi wakishudia mpambano wa Muziki Mnene na Mlandizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani