Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Eric David Nampesya azipa tabu Tumba

Mwandishi wa BBC Eric David Nampesya afichua kipaji kilichojificha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Makamu wa Rais azipa changamoto nchi za G77

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ametaka nchi wanachama wa G77+China, kuhakikisha zinaboresha kilimo ili ziwe na hifadhi ya kutosha ya chakula kwa wananchi wake.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Producer Swizz Beatz wa Marekani azipa shavu ngoma mbili za Diamond

Producer mkongwe aliyewaingiza kwenye ramani ya muziki rappers maarufu wakiwemo EVE na DMX, Kasseem Dean maarufu kama Swizz Beatz wa nchini Marekani, ni shabiki wa nyimbo za Diamond Platnumz. Producer huyo ambaye pia ni rapper na mume wa Alicia Keys, jana aliendelea kuonesha mapenzi yake kwa muziki wa Afrika kwa kupost video za mwanae pekee […]

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA CHALINZE RIDHWANI KIKWETE AZIPA BAISKELI OFISI 221 ZA CCM JIMBONI KWAKE

Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) na Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, Ridhiwan Kikwete amefanya ziara Jimboni kwake na kugawa Baiskeli 221 kwaajili matawi yote ya CCM jimboni humo kusaidia shughukli za uchaguzi Serikali za Mitaa na Vijiji.Baiskeli hizo ziligawiwa kwa Makatibu wa Vyama kutoka ofisi hizo za CCM.Katibu wa Mbunge wa Chalinze, akiwa na baadhi ya Makatibu wa Matawi ya CCM.Katibu wa Mbunge akiwa na mtaalam wa uchimbaji...

 

9 years ago

GPL

UCHAGUZI 2015, NI MWAKA WA TABU

Mgombea urais wa Ukawa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa. Na Mwandishi Wetu NDIYO lugha nyepesi kutamkika katika kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye safari ya kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.Vyama vikubwa ni viwili, Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliomsimamisha Dk. John Magufuli na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliomsimamisha Edward Lowassa. Mgombea urais...

 

11 years ago

GPL

Loga: Nitasajili Wakenya, Wabongo ni tabu

Kocha Mkuu wa Simba, Mcrotia Zdravko Logarusic akiwa na wachezaji wake. Na Nicodemus Jonas
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcrotia Zdravko Logarusic, amesema iwapo ataendelea kukinoa kikosi hicho msimu ujao, ndoto ya usajili wake ni kuchota nyota kutoka Ligi Kuu ya Kenya, kwani kuna wachezaji wenye uwezo mzuri na wenye kuendana na weledi wa kisoka (professionalism). Loga ambaye aliwahi kufundisha soka nchini humo akiwa na Klabu ya Gor...

 

11 years ago

Mwananchi

Tabu Ley: Mfalme wa Rhumba aliyeacha watoto 68

Kama kuna mwanamuziki ambaye ameacha historia ya pekee katika maisha yake, si mwingine ni Pascal-Emmanuel Sinamoyi au Tabu Ley (76) kama anavyojulikana na wengi

 

11 years ago

BBCSwahili

Gwiji wa Rumba Tabu Ley azikwa Kinshasa

Shughuli ya mazishi ya marehemu Tabu Ley Rochereau gwiji wa Rumba Afrika, inaendelea mjini Kinshasa katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani