Estomih Mallah wa ACT Wazalendo afariki dunia
Mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo katika jimbo la Arusha Mjini Estomih Mallah amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko KCMC, Moshi alikohamishiwa jana kwa matibabu zaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen09 Oct
ACT Wazalendo’s Estomih Mallah dies in Moshi
ACT-Wazalendo parliamentary candidate in Arusha Urban, Estomih Mallah passes away early today at the Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC).
9 years ago
Mwananchi11 Oct
Mallah wa ACT kuzikwa Sango
Mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge wa ACT - Wazalendo Jimbo la Arusha Mjini, Estomih Mallah unatarajiwa kuzikwa Jumatano ijayo kijijini kwao Sango, mkoani Kilimanjaro.
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
 Mwenyekiti wa ACT-Tanzania, Lucas Kadawi Limbu.  Mwenyekiti wa ACT-Tanzania, Lucas Kadawi Limbu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo alipinga Msajili wa Vyama Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi kubadilisha jina la chama cha ACT-Tanzania na kuwa ACT-Wazalendo bila ya kufuata utaratibu. Kulia ni Katibu Muenezi wa chama hicho, Fredy Kisena na Katibu Mkuu wa chama...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
ACT Wazalendo kuimarisha kilimo
Mgombea urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira amesema umaskini wa Mtanzania hauwezi kuondolewa kwa maneno, bali ni katika kutekeleza shughuli za kilimo.
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Siku 10 za kampeni za ACT-Wazalendo
Chama cha ACT-Wazalendo juzi kimehitimisha siku 10 za awamu ya kwanza kwa kutembelea mikoa minane ya Tanzania Bara, huku wakisisitiza kaulimbiu yao ya utu, uzalendo na uadilifu.
10 years ago
TheCitizen27 Jul
Act-Wazalendo to go it alone in polls, Zitto says
Dar es Salaam. Opposition ACT-Wazalendo yesterday declared it will go into the October General Election alone, thus ending any chance that the party will join the coalition Ukawa that brings together other main opposition parties.
9 years ago
Mwananchi01 Oct
ACT Wazalendo: Muungano ni maridhiano
Mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema suala la Muungano linataka maridhiano na siyo masharti ya kutoka upande wowote unaouunda.
9 years ago
TheCitizen19 Aug
ACT-Wazalendo yet to get Ikulu candidate
The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) is holding internal meetings to appoint the party’s presidential flag-bearer for the October 25 General Election.
5 years ago
TheCitizen15 Feb
ACT-Wazalendo to hold International Conference
The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) plans to hold an International conference in Mwanza Region to discuss the country’s ongoing political and economic situations.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania