Ethiopia yajenga darubini
Hii ndio sura mpya ya tamaa ya Ethiopia ya mpango wa kuangaza anga za mbali nchini humo. Darubini hizi zimejengwa kwa kipindi cha miaka mitatu na kugharimu dola milioni nne.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UgLUjuQwZfM/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Akaunti za FIFA zapigwa darubini
Benki za Switzerland zimeripoti shughuli zisizoeleweka zilizokuwa zikiendelea katika akaunti za benki za shirikisho la soka duniani FIFA
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Handebezyo; ‘Darubini ya asili’ iliyotelekezwa Ukerewe
Wilaya ya Ukerewe ingeweza kuwa moja ya maeneo ya vivutio vya utalii katika taifa letu, kama historia na utajiri wa maliasili zake ungeendelezwa na kutangazwa.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
DARUBINI YA MTATIRO : Je, umeandaa mkoba kubebea fedha 2025
Mtanisamehe ndugu zangu kwamba leo darubini yetu imegeuka kuwa hotuba kwa kina baba na kina mama wa nchi hii tuipendayo. Shilingi ya Tanzania imezidi kuzorota sana, uchumi wetu umezidi kuporomoka, ndiyo maana nasema wanaume na wanawake wa nchi hii waandae mabegi mawili na mikoba miwilimiwili.
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Korea yajenga wodi ya wajawazito
SERIKALI ya Korea Kusini, kwa kushirikiana na halmashauri ya kijiji cha Zinga wilayani Bagamoyo, wamejenga wodi ya wajawazito yenye thamani ya sh. milioni 32. Akizungumza katika ufunguzi wa wodi hiyo...
11 years ago
Mwananchi23 May
Halmashauri yajenga masoko mpakani
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera, imepanga kujenga masoko ya kimkakati mpakani na nchi jirani ili wafanyabiasha wa maeneo hayo wanunue na kuuza bidhaa ili kuchochea ongezeko la mapato.
9 years ago
Mwananchi06 Sep
DARUBINI YA MTATIRO : Wajibu wa wagombea na wananchi kwenye uchaguzi huu (1)
Nchi yetu iko katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2015, sote tunatambua kuwa kwa mara ya kwanza uchaguzi wa mwaka huu una ushindani mkubwa na uliopitiliza na kuna masuala kadhaa ambayo lazima niyaseme hapa ili itusaidie kuwa na uchaguzi wa amani na utulivu kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi itahakikisha kuwa uchaguzi unakuwa huru na wa haki.
9 years ago
Mwananchi29 Nov
DARUBINI YA MTATIRO :Nchi hii haikuwa na kiongozi miaka 10 iliyopita?
Tangu Rais Pombe Magufuli alihutubie na kulizindua Bunge la Kumi na Moja Ijumaa Novemba 20, mambo kadhaa yamewashangaza wafuatiliaji wa masuala hapa nchini.
9 years ago
Mwananchi13 Sep
DARUBINI YA MTATIRO : Wajibu wa wagombea na wananchi kwenye uchaguzi huu (2)
Ni jukumu la wagombea na wananchi kujua mifumo ya halmashauri na namna zinavyofanya kazi katika maeneo ya miradi ya maendeleo, ukusanyaji kodi za ndani, upokeaji wa ruzuku kutoka serikalini, upokeaji wa fedha za miradi inayofadhiliwa kutoka nje ya nchi kwenda kwenye halmashauri moja kwa moja.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania