Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri yajenga masoko mpakani

Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera, imepanga kujenga masoko ya kimkakati mpakani na nchi jirani ili wafanyabiasha wa maeneo hayo wanunue na kuuza bidhaa ili kuchochea ongezeko la mapato.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ethiopia yajenga darubini

Hii ndio sura mpya ya tamaa ya Ethiopia ya mpango wa kuangaza anga za mbali nchini humo. Darubini hizi zimejengwa kwa kipindi cha miaka mitatu na kugharimu dola milioni nne.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Korea yajenga wodi ya wajawazito

SERIKALI ya Korea Kusini, kwa kushirikiana na halmashauri ya kijiji cha Zinga wilayani Bagamoyo, wamejenga wodi ya wajawazito yenye thamani ya sh. milioni 32. Akizungumza katika ufunguzi wa wodi hiyo...

 

10 years ago

StarTV

Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

 

Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.

Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...

 

10 years ago

Mwananchi

Basata yajenga hoja Miss Tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa sababu tisa za kuyafungia mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, ikiwamo Lino International Agency kuwasilisha hundi feki kwa baraza hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanapa yajenga nyumba za watalii wa ndani

Kilio cha Watanzania kushindwa kutembelea Hifadhi za Taifa kwa kuogopa gharama kubwa kimepatiwa ufumbuzi baada ya Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), kujenga nyumba za kulala wageni katika maeneo hayo ambazo zitatoza malipo ya chini kwa watalii wa ndani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Exim yajenga vyoo shule ya msingi Kilakala

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi vyoo vya kisasa kwa shule ya msingi Kilakala iliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam ikiwa ni jitihada zake za kuboresha usafi na mazingira ya kujifunzia...

 

10 years ago

Michuzi

TANAPA YAJENGA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU.

Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya Sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA). Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa Tanzania wakati wa hafla ya makabidhiano ya jengo la Bweni la wasichana...

 

10 years ago

Michuzi

TPB Yajenga Vyoo na Mfumo wa Maji Shule ya Msingi Kipampa

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis NdahaniNaibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses na Meneja wa TPB, Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani. Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa....

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji wakwama mpakani

Wahamiaji wamekwama katika eneo la mpaka kati ya Hungary na Serbia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani