DARUBINI YA MTATIRO : Je, umeandaa mkoba kubebea fedha 2025
Mtanisamehe ndugu zangu kwamba leo darubini yetu imegeuka kuwa hotuba kwa kina baba na kina mama wa nchi hii tuipendayo. Shilingi ya Tanzania imezidi kuzorota sana, uchumi wetu umezidi kuporomoka, ndiyo maana nasema wanaume na wanawake wa nchi hii waandae mabegi mawili na mikoba miwilimiwili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi13 Sep
DARUBINI YA MTATIRO : Wajibu wa wagombea na wananchi kwenye uchaguzi huu (2)
9 years ago
Mwananchi29 Nov
DARUBINI YA MTATIRO :Nchi hii haikuwa na kiongozi miaka 10 iliyopita?
9 years ago
Mwananchi06 Sep
DARUBINI YA MTATIRO : Wajibu wa wagombea na wananchi kwenye uchaguzi huu (1)
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Ethiopia yajenga darubini
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Mkoba: Serikali ikutane na walimu
SERIKALI imetakiwa kuacha kuwaonea walimu na baada yake wakukutana na kujadiliana juu ya makato ya shilingi 10000 ya ujenzi wa maabara wanaokatwa walimu wa jiji la Mwanza. Akizungumza na Tanzania...
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
‘Sina mgombea kwenye mkoba’
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Tabora Mjini, Moshi Nkonkota, amekanusha malalamiko yaliyotolewa na Mbunge Ismail Rage, kuwa ana mgombea kwenye mkoba aliyemuandaa kuwania jimbo hilo. Akizungumza na...
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Akaunti za FIFA zapigwa darubini
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Mtatiro: Tutavunja makufuli
MGOMBEA ubunge wa Segerea, Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema atahakikisha wanavunja makufuli yote.
“ Naombeni wananchi tuseme Magufuli…no, in one…kwa miaka yote katika jimbo hili hakuna huduma muhimu ya maji, miundombinu..iwe jua au mvua barabara hazipitiki bado CCM wanataka tuwapeleke Ikulu haiwezekani,”alisema Mtatiro.
Alisema mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli alikuwa wizara inayoshughulika na ujenzi lakini matokeo yake ameshindwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/j5PZz9S050c/default.jpg)