Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkoba: Serikali ikutane na walimu

SERIKALI imetakiwa kuacha kuwaonea walimu na baada yake wakukutana na kujadiliana juu ya makato ya shilingi 10000 ya ujenzi wa maabara wanaokatwa walimu wa jiji la Mwanza. Akizungumza na Tanzania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

NEC yaagizwa ikutane na vyama vya siasa

mussa zunguNa Maregesi Paul, Dodoma

BUNGE limeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikutane na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kuangalia namna ya kufanikisha uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Kudumu la wapiga Kura.

Kauli hiyo ilitolewa bungeni juzi na Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu alipokuwa akijibu mwongozo wa Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.

“Waheshimiwa wabunge kama mtakumbuka leo asubuhi (juzi asubuhi), mheshimiwa Mbatia aliomba mwongozo kuhusu uandikishaji wa Daftari la Kudumu la...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itatue matatizo ya walimu

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametoa kauli ambayo bila shaka imewagusa wengi katika jamii.

 

9 years ago

Mtanzania

Serikali yalipa walimu bil 1.9/-

Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam

CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha  kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.

Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh  1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.

Alisema pamoja na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Faraja ya serikali na laana ya walimu

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda alinukuliwa bungeni Alhamisi iliyopita akisema; “Sasa ni faraja kwa walimu, maana juzi tulikaa katika Baraza la Mawaziri na tumekubali kuanzisha chombo maalumu kitakachoshughulika na nidhamu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali inafaidika na migogoro ya walimu?

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza mgogoro na Serikali kwa kushindwa kufanyia kazi madai mbalimbali ya walimu yanayofikia Sh61 bilioni, yakiwamo malimbikizo ya mishahara na likizo za walimu.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu Kilolo waichokonoa serikali

DHARAU zinazooneshwa na baadhi ya watu dhidi ya walimu nchini zimeelezwa na Chama cha Walimu (CWT) wilaya ya Kilolo kwamba chanzo chake ni maslahi duni wanayopata kutoka katika chanzo chake kikuu, serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT: Serikali itatue kero za walimu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Morogoro kimeitaka serikali kuepusha migogoro kati yake na walimu. Rai hiyo imetolewa na Katibu wa CWT, Maswi Munada alipomkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa, Jorvis...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yabakiza bil. 4/- tu deni la walimu

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu NchembaBUNGE limeelezwa kuwa deni la walimu linalodaiwa serikalini limeshuka hadi kufikia Sh bilioni 4 tu kutokana na mfumo mzuri wa ulipaji uliowekwa na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZA WALIMU 30,000

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne Sagini (kulia) akizungumza jambo. Dar es Salaam. Serikali imetangaza ajira mpya za walimu 31,056 wanaotakiwa kuanza kazi kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
Mbali na walimu, pia imetangaza ajira kwa mafundi sanifu wa maabara 10,625 ambao pia wataanza kazi sambamba na walimu hao.Akizungumza jana, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani