Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtatiro: Tutavunja makufuli

MtatiroMGOMBEA ubunge wa   Segerea, Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema atahakikisha wanavunja makufuli yote.

“ Naombeni wananchi tuseme Magufuli…no, in one…kwa miaka yote katika jimbo hili hakuna huduma muhimu ya maji, miundombinu..iwe jua au mvua barabara hazipitiki bado CCM wanataka tuwapeleke Ikulu haiwezekani,”alisema Mtatiro.

Alisema mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli alikuwa wizara inayoshughulika na ujenzi lakini matokeo yake ameshindwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kiburi na Ubabe wa Makufuli

The post Kiburi na Ubabe wa Makufuli appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli : Nitawafunga mafisadi kwa makufuli

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka Watanzania wampe kura ili akiingia Ikulu akawafunge mafisadi kwa makufuli.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Minja leo, makufuli yaendelea

MADUKA mengi ya Kariakoo, Dar es Salaam na baadhi yaliyopo mikoani yameendelewa kufungwa huku wenye maduka wakidai hawatafungua leo wala kesho.

 

11 years ago

GPL

SHILOLE AWASHANGAA WASIOPENDA ‘MAKUFULI’

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za ndani ‘makufuli’. Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Akistorisha na paparazi wetu, Shilole alisema katika maisha yake anapenda sana kujisitiri kwa kuvaa nguo ya ndani hivyo anawashangaa wasanii wanaotembea bila kuvaa nguo hiyo huku wengine wakidai wakizivaa...

 

9 years ago

Mtanzania

Julius Mtatiro rasmi Segerea

mtatiroNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimemteua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro kuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam.

Hatua ya kuteuliwa kwa Mtatiro kuwania ubunge katika jimbo hilo imefuta ndoto za baadhi ya makada wa Chadema ambao walikuwa wakitajwa kutaka kuwania jimbo hilo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana alisema ameteuliwa kuwa mgombea na amechukua fomu ya...

 

11 years ago

GPL

MREMBO ANASWA KWA WIZI WA ‘MAKUFULI’...

Na Dustan Shekidele, Morogoro
MREMBO Asna Eliasmkazi wa maeneo ya Manzese mkoani hapa, ameingia matatani baada ya kutiwa mbaroni kwa wizi wa nguo za ndani za mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la aina yake, lilitokea Jumatatu iliyopita mchana wa jua kali nyumbani kwa Kigogo wa UWT kupitia CCM, Bi. Mwajuma Malingo anayeishi Mtaa wa Holowera Kata ya Mji Mpya. Akizungumza na paparazi wetu kuhusu...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtatiro: Askari akifa mapambano palepale

MtatiroNa Mwandishi Wetu

ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa CUF-Bara, Julius Mtatiro, amesema kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba ni sawa ana askari kufia mstari wa mbele na mapambano yanaendelea kama kawaida.

Mtatiro alitoa kauli hiyo, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook mjini Dar es Salaam jana.

“Mapambano yaendee, askari amekufa akiwa  mstari wa mbele wakati vita inakaribia kuisha, ni bahati mbaya, chukueni mwili wake, upeni heshima zote za mwisho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sababu za Mtatiro kung’oka CUF

SIRI ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba kufanya mabadiliko kwenye kurugenzi zake kwa kumng’oa Julius Mtatiro kwenye nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara, imefichuka. Vyanzo vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtatiro akusanya saini kupinga nyongeza ya posho

Mjadala wa nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, sasa umechukua sura mpya baada ya mmoja wa wajumbe hao, Julius Mtatiro kuanza kukusanya saini za wajumbe wote wanaopinga nyongeza hiyo na kumwandikia barua Rais Jakaya Kikwete, kumuomba asiongeze kiasi chochote cha fedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani