Mtatiro: Askari akifa mapambano palepale
Na Mwandishi Wetu
ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa CUF-Bara, Julius Mtatiro, amesema kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba ni sawa ana askari kufia mstari wa mbele na mapambano yanaendelea kama kawaida.
Mtatiro alitoa kauli hiyo, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook mjini Dar es Salaam jana.
“Mapambano yaendee, askari amekufa akiwa mstari wa mbele wakati vita inakaribia kuisha, ni bahati mbaya, chukueni mwili wake, upeni heshima zote za mwisho...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s72-c/kova18_232_300.jpg)
TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s1600/kova18_232_300.jpg)
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...
11 years ago
Mwananchi09 Mar
‘Mjumbe mteule akifa nafasi haijazwi’
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Mji uliozoea kupandisha bendera nusu mlingoti mkazi akifa
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Mtatiro: Tutavunja makufuli
MGOMBEA ubunge wa Segerea, Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema atahakikisha wanavunja makufuli yote.
“ Naombeni wananchi tuseme Magufuli…no, in one…kwa miaka yote katika jimbo hili hakuna huduma muhimu ya maji, miundombinu..iwe jua au mvua barabara hazipitiki bado CCM wanataka tuwapeleke Ikulu haiwezekani,”alisema Mtatiro.
Alisema mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli alikuwa wizara inayoshughulika na ujenzi lakini matokeo yake ameshindwa...
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Julius Mtatiro rasmi Segerea
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimemteua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro kuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam.
Hatua ya kuteuliwa kwa Mtatiro kuwania ubunge katika jimbo hilo imefuta ndoto za baadhi ya makada wa Chadema ambao walikuwa wakitajwa kutaka kuwania jimbo hilo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana alisema ameteuliwa kuwa mgombea na amechukua fomu ya...
11 years ago
MichuziKIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Sababu za Mtatiro kung’oka CUF
SIRI ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba kufanya mabadiliko kwenye kurugenzi zake kwa kumng’oa Julius Mtatiro kwenye nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara, imefichuka. Vyanzo vya...