Julius Mtatiro rasmi Segerea
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimemteua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro kuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam.
Hatua ya kuteuliwa kwa Mtatiro kuwania ubunge katika jimbo hilo imefuta ndoto za baadhi ya makada wa Chadema ambao walikuwa wakitajwa kutaka kuwania jimbo hilo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana alisema ameteuliwa kuwa mgombea na amechukua fomu ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
UKAWA YAMTANGAZA RASMI JULIUS MTATIRO KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Exclusive kuelekea uchaguzi Mkuu: Julius Mtatiro amtisha Makongoro Mahanga Segerea
Julius Mtatiro wa CUF ambaye analiwania jimbo la Segerea …kupitia UKAWA
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam). Mnamo Agosti 2.2015, Aliyekua Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Milton Makongoro Mahanga ametangaza rasmi kujiunga na upinzani kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).. hata hivyo baada ya kutangaza huko tayari wanasiasa mbalimbali wamekuwa na maoni yao huku wengine wakimtaka akubali ushindani ndani ya UKAWA.
Miongoni mwa wanasiasa hao ni pamoja na Kada...
10 years ago
Mtanzania02 Oct
Mtatiro: Tutavunja makufuli
MGOMBEA ubunge wa Segerea, Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema atahakikisha wanavunja makufuli yote.
“ Naombeni wananchi tuseme Magufuli…no, in one…kwa miaka yote katika jimbo hili hakuna huduma muhimu ya maji, miundombinu..iwe jua au mvua barabara hazipitiki bado CCM wanataka tuwapeleke Ikulu haiwezekani,”alisema Mtatiro.
Alisema mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli alikuwa wizara inayoshughulika na ujenzi lakini matokeo yake ameshindwa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Sababu za Mtatiro kung’oka CUF
SIRI ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba kufanya mabadiliko kwenye kurugenzi zake kwa kumng’oa Julius Mtatiro kwenye nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara, imefichuka. Vyanzo vya...
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Mtatiro: Askari akifa mapambano palepale
Na Mwandishi Wetu
ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa CUF-Bara, Julius Mtatiro, amesema kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba ni sawa ana askari kufia mstari wa mbele na mapambano yanaendelea kama kawaida.
Mtatiro alitoa kauli hiyo, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook mjini Dar es Salaam jana.
“Mapambano yaendee, askari amekufa akiwa mstari wa mbele wakati vita inakaribia kuisha, ni bahati mbaya, chukueni mwili wake, upeni heshima zote za mwisho...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Mtatiro akusanya saini kupinga nyongeza ya posho
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Mtatiro aachia ngazi CUF, Sakaya amrithi mikoba
10 years ago
Mwananchi06 Jul
DARUBINI YA MTATIRO : Je, umeandaa mkoba kubebea fedha 2025
10 years ago
Mwananchi13 Sep
DARUBINI YA MTATIRO : Wajibu wa wagombea na wananchi kwenye uchaguzi huu (2)