EU yatuma kikosi cha waangalizi 140 wa uchaguzi
Umoja wa Ulaya (EU) umetuma kikosi cha watu takriban 140 watakaofanya uangalizi wa mwenendo wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika siku 23 zijazo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kinana kuongoza kikosi cha Kamati ya Kampeni Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo asubuhi,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana na uteuzi wa kamati ya Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015, ambayo itaongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Wajumbe.
Kamati Ya Kampeni Za Uchaguzi 2015 – 18.8.2015
9 years ago
MichuziWaangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
9 years ago
MichuziWAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI WAENDELEA KUPATA UFAFANUZI JUU YA MASUALA YANAYOHUSIANA NA VYAMA VYA SIASA NA UCHAGUZI.
9 years ago
VijimamboWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.
9 years ago
Habarileo25 Oct
Waangalizi uchaguzi waridhika
WAANGALIZI wa Uchaguzi Mkuu kutoka nchi za Maziwa Makuu, wameridhishwa na kutosheka na hali ya utulivu na kukomaa kwa demokrasia nchini, wakati wote wa kampeni licha ya kuwepo na tofauti za kisera.
9 years ago
Habarileo30 Oct
Waangalizi wasifia uchaguzi
UMOJA wa Waangalizi wa Ndani wa Uchaguzi Tanzania (CEMOT), umepongeza mchakato wa uchaguzi wakisema sheria na kanuni vimezingatiwa na kuheshimiwa.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RJ0Grr-rL7s/Vmb1OaTl-LI/AAAAAAAILCg/amGtPDEzPwI/s72-c/EU_flag1-436x347.jpg)
Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa EU watoa wito kwa ukamilishwaji haraka wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar kulingana na kanuni za chaguzi shirikishi, za uwazi, zinazotekelezwa kwa wakati na za kuaminika
![](http://3.bp.blogspot.com/-RJ0Grr-rL7s/Vmb1OaTl-LI/AAAAAAAILCg/amGtPDEzPwI/s400/EU_flag1-436x347.jpg)
Kufuatia Siku ya Uchaguzi tarehe 25 Oktoba, Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya umebaki nchini kufuatilia chaguzi zilizoahirishwa Tanzania Bara na mchakato uliyositishwa Visiwani Zanzibar, baada ya tamko la Mwenyekiti wa Tume ya...
9 years ago
Vijimambo28 Oct
Waangalizi wa kimataifa wapongeza uchaguzi
![Waangalizi wa kimataifa wapongeza uchaguzi](http://www.habarileo.co.tz/images/resized/images/Lubuvaaaaaa_478_293.jpg)
Aidha, wamebainisha kuwa uchaguzi huo ulikuwa umepangwa vyema na kufanyika kwa amani. Waangalizi hao wamepongeza Watanzania kwa kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao kikatiba kwa kuwa na uchaguzi wa huru na amani kutawala licha ya kutokea kwa changamoto mbalimbali. Aidha, wamesema kuanzia kipindi chote cha kampeni...
10 years ago
Habarileo04 Jul
NEC yaalika waangalizi wa uchaguzi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imealika maombi kutoka taasisi na asasi mbalimbali ambazo zinahitaji kutazama Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.