Everton yaanza vizuri Europa
Michuano ya EUROPA maarufu kama UEFA ndogo ilichezwa usiku wa alhamis ambapo Everton ya England ilialinza kwa kuisambaratisha Wolfsburg 4 - 1.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Ragga:Australia yaanza vizuri
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Uganda yaanza vizuri CHAN
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Wizara ya Elimu yaanza vizuri Shimiwi
10 years ago
GPLMAN CITY YAANZA VIZURI PREMIERSHIP
9 years ago
Vijimambo9 years ago
Dewji Blog06 Nov
Matokeo ya ligi ya Europa (UEFA Europa League)
Ligi ya vilabu barani Ulaya (Uefa Europa League) iliendelea hapo kwa michezo 24 iliyochezwa katika viwanja 12 tofauti. Yafuatayo ni matokeo ya michezo hiyo;
GROUP A;
Ajax 0 – 0 Fenerbahçe
Celtic 1 – 2 Molde
GROUP B;
FC Sion 1 – 1 Bordeaux
Rubin Kazan 0 – 1 Liverpool
GROUP C;
Borussia Dortmund 4 – 0 FK Qabala
FK Krasnodar 2 -1 PAOK Salonika
GROUP D;
Club Brugge 1 – 0 Legia Warsaw
Napoli 5 – 0 FC Midtjylland
GROUP E;
Dinamo Minsk 1 – 2 Villarreal
Viktoria Plzen 1 – 2 Rapid Vienna
GROUP F;
FC...
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
Kili Stars yaanza vizuri Cecafa Senior Challenge, yaikamua Somalia, bingwa mtetezi Kenya nae aipa kipigo Uganda!
Kikosi cha Kilimanjaro Stars..
Na Rabi Hume, Modewji blog
Timu inayowakilisha Tanzania bara katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge, Kilimanjaro Stars jana imeanza vyema mashindano hayo kwa kuifunga timu ya taifa ya Somalia kipigo cha goli 4 kwa bila.
Katika mchezo huo ambao Kili Stars ilionekana kutawala kwa kipindi kirefu ilifanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 11 kupitia kwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco kwa njia ya mkwaju wa penati.
Goli la pili lilifungwa na Elias...
5 years ago
BBC24 Feb
Arsenal 3-2 Everton: Aubameyang nets twice as Arsenal beat Everton in thriller