Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI CUP: Abajalo yaanza vizuri mechi ya ufunguzi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI CUP YAZINDULIWA RASMI, ABAJALO YAANZA KWA USHINDI

TIMU ya Abajalo SC leo imeifunga timu ya Zakhem SC kwa bao 2-1 kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Magufuli Cup ‘#Hapa Kazi Tu’ iliyoanza kutimua vumbi rasmi leo kwa mchezo mmoja uliochezwa kwenye uwanja wa Mwl. Nyerere, Magomeni jijini Dar es Salaam.

 Magoli yote mawili ya Abajalo yamefungwa na Lameck Daiton, goli la kwanza limefungwa dakika ya tisa wakati goli la pili limefungwa dakika ya 11 kwa mkwaju wa penati baada ya Muhsin Said kuangushwa kwenye eneo la hatari wakati akielekea...

 

10 years ago

Michuzi

ABAJALO YAINGIA FAINALI DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP KWA KISHINDO

Timu ya Abajalo ya Sinza jijini Dar es Salaam imefanikiwa kukata tiketi ya fainali ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 baada ya kuifunga Burudani FC ya Temeke mikoroshini mabao 3-1. Mabao ya Abajalo kwenye mchezo huo yalifungwa na Idd Kulachi ‘Kleberson’ aliyefunga mabao mawili kati ya matatu. Mchezo huo wa nusu fainali ya pili ulipigwa kwenye uwanja Bandari uliopo maeneo ya Tandika Mwembe Yanga. Kwa ushindi huo sasa Abajalo itacheza na Tabata FC kwenye fainali itakayopigwa siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

SPORTS XTRA NDONDO CUP YAZINDULIWA RASMI, ABAJALO, FC KAUZU MUZIKI WAO..OGOPA SANA!

3Baada ya kuisubiri kwa muda mrefu burudani hii adimu! Sasa utamu umewadia!!
Msimu wa pili wa mashindano ya Sports Xtra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka, Daktari bingwa wa masuala ya Afya ya uzazi na Tiba asilia kutoka kituo cha Foreplan Clinic, kilichopo Bungoni, Ilala, Dar es salaam umezinduliwa rasmi katika uwanja wa Bandari, Tandika, jijini Dar es salaam.
Mechi ya ufunguzi yenye mvuto wa aina yake imepigwa jana ikiwakutanisha mabingwa watetezi, Abajalo FC ya Sinza Dar es...

 

9 years ago

Habarileo

Abajalo yaing’oa Zakhem Kombe la Magufuli Taswa

TIMU ya soka ya Abajalo imefanikiwa kukata tiketi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Magufuli kwa kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Zakhem kwenye mechi mbili walizocheza kwa mtindo nyumbani na ugenini.

 

11 years ago

Michuzi

ANGALIA MECHI YA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA LIVE MTANDAONI!

KUANGALIA MTANANGE HUU LIVE MTANDAONI BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Everton yaanza vizuri Europa

Michuano ya EUROPA maarufu kama UEFA ndogo ilichezwa usiku wa alhamis ambapo Everton ya England ilialinza kwa kuisambaratisha Wolfsburg 4 - 1.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uganda yaanza vizuri CHAN

Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes ambayo ni miongoni mwa kutoka Afrika Mashariki jumapili iliwafurahisha mashabiki wake baada ya kuishikisha adabu Burkina Faso kwa jumla ya magoli 2 -1.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ragga:Australia yaanza vizuri

Katika michuano ya kombe la Dunia kwa upande wa ragga,timu ya Australia imeshinda mchezo wa kwanza kwa kuifunga Fiji 28-13

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani