Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ragga:Australia yaanza vizuri

Katika michuano ya kombe la Dunia kwa upande wa ragga,timu ya Australia imeshinda mchezo wa kwanza kwa kuifunga Fiji 28-13

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Everton yaanza vizuri Europa

Michuano ya EUROPA maarufu kama UEFA ndogo ilichezwa usiku wa alhamis ambapo Everton ya England ilialinza kwa kuisambaratisha Wolfsburg 4 - 1.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uganda yaanza vizuri CHAN

Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes ambayo ni miongoni mwa kutoka Afrika Mashariki jumapili iliwafurahisha mashabiki wake baada ya kuishikisha adabu Burkina Faso kwa jumla ya magoli 2 -1.

 

10 years ago

GPL

MAN CITY YAANZA VIZURI PREMIERSHIP

Kiungo wa Manchester City, David Silva akiifungia timu yake bao la kwanza katika dakika ya 39. Patashika wakati wa mtanange huo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Wizara ya Elimu yaanza vizuri Shimiwi

>Michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) imeanza kutimua vumbi kwa kwa michezo ya ufunguzi, huku timu ya soka ya Wizara ya Elimu ikishindwa kuitambia Ras Arusha kwa kulazimisha suluhu katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kili Stars yaanza vizuri Cecafa Senior Challenge, yaikamua Somalia, bingwa mtetezi Kenya nae aipa kipigo Uganda!

kilistars

Kikosi cha Kilimanjaro Stars..

Na Rabi Hume, Modewji blog

Timu inayowakilisha Tanzania bara katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge, Kilimanjaro Stars jana imeanza vyema mashindano hayo kwa kuifunga timu ya taifa ya Somalia kipigo cha goli 4 kwa bila.

Katika mchezo huo ambao Kili Stars ilionekana kutawala kwa kipindi kirefu ilifanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 11 kupitia kwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco kwa njia ya mkwaju wa penati.

Goli la pili lilifungwa na Elias...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mauaji Australia

Polisi nchini Australia wamewakamata watu wanne kuhusiana na mauaji ya mfanyakazi mmoja wa polisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani