Exclusive gossip!! Elizabeth Michael ‘Lulu’ atimiza miaka 20, akutwa na majanga makubwa tena?
Lulu akiwa kwenye pozi..
..Afunga ‘akaunti’ yake ya Instagram kwa siku zisizojulikana ..Wema Sepetu ampongeza, amuonea huruma kifo cha SekiNa Andrw Chale wa Modewji blog
Habari maalum hadi tunakuwekea hapa, Leo Aprili 16.2015, ni siku ya kipekee kwa muigizaji na Msanii wa filamu na ‘modo’ kwenye matangazo mbalimbali ya Bongo, Elizabeth Michael maalufu kama Lulu ambaye ametimiza miaka 20.
Hata hivyo hadi hivi sasa Lulu ambaye pia amekuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao yake ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboELIZABETH MICHAEL (LULU) WA BONGO MOVIE AOMBA NAFASI YA KUOLEWA NA IDRIS MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
PICHA: Tazama picha tano (5) kali sana za mwanadada Elizabeth Michael a.k.a LULU. Utazipenda.
Picha kwa hisani ya blog ya http://www.domozege.blogspot.com
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Exclusive gossip: Bobby Brown Says Bobbi Kristina ‘Is Awake’
Bobbi
“I can say today, Bobbi is awake. She’s watching me,” he told a shocked crowd at the Verizon Theater in Dallas, Texas, on Saturday. A video of his statement was posted to Instagram.
The video was captioned, “Theirs [sic] been terrible rumors circulating for months … @kingbobbybrown would like to share a message with you all … From our family to yours … Thank you for all the well wishes and prayers for his daughter #BK …. But let it be known that #GOD holds the glory …. continue to...
10 years ago
Dewji Blog03 May
Exclusive gossip: Paul wa kundi la Psquare ampeleka mwanae klabu ya Chelsea Fc
Paul Okoye wa Psquare akiwa na mtoto wake wa kiume, Andre (2) ambaye pia ameamua kumuingiza mtoto wake huyo kuwa ‘mnazi’ wa klabu ya Chelsea ambapo anamtabilia atakuwa mchezaji wa Kimataifa na wa kulipwa.
Na Andrew Chale, Modewji blog
Ukweli ni kuwa, wakali wanaotikisa katika muziki, kundi la Psquare linaloundwa na Mapacha ‘kaka wawili’ Peter na Paul Okoye (Psquare) ni wanazi wa kutupwa wa timu ya Chelsea Fc yenye makazi yake London huku ikitumia uwanja wa Arena, Stamford Bridge,...
10 years ago
Dewji Blog14 Apr
Exclusive gossip:Diamond Platnumz aongoza kuwa na wafuasi wengi mtandao wa Instagram
Diamond Platinum mwenye Followers 571K ‘Kings of Instagram fans’ kwa mujibu wa Modewji blog, utafiti uliofanywa na timu nzima ya dewjiblog.com
… afuatiwa kwa karibu na Wema Sepetu ..wamo pia Kajala Masanja, MillardAyo, Veemoney, ZariNa Andrew Chale wa MOdewji blog
Huenda bado ujapata kutembelea mitandao ya kijamii ikiwemo Instagrma, Twitter na Facebook ambayo kwa sasa ndio imekuwa kimbilio la mastaa wengi wa Bongo wakiwemo wa filamu, muziki na watu maalufu.
Uchunguzi wa kina uliofanywa...
10 years ago
Dewji Blog02 May
Exclusive gossip: Wabongo ‘wamtibulia’ mwanadada wa Zimbabwe kwa Amber Rose Instagram
Picha hii ndio iliyozua ‘zengwe’ baada ya watanzania waishio Bongo na UK kutukanana matusi na Wazimbabwe waishio Uingereza (UK), ambapo hata hivyo, AmberRrose ameiondoa katika mtandao wake wa Instagram baada ya kuogopa uvunjikaji wa amani baina ya Tanzania na Zimbabwe.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Huenda ujapata kusikia hii ambayo ni mpya kabisa na hata kama umeisikia basi ni juu juu, ukweli ni kuwa, Watanzania mbalimbali ambao wanatumia Instagram (IG ) walio fans wa video queen,...
10 years ago
Dewji Blog19 Apr
Exclusive gossip: Diamond Platinumz ‘kuwalipia’ Bima ya Afya wakazi 200 wa Tandale
Post aliyotupia Diamondplatnumz kwenye mtandao wake wa Instagram. alipotembelea ofisi za Edgepoint Company Ltd watoaji wa huduma ya bima ya afya
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Kitu kingine kwa mwanamuziki anayefaanya vizuri Bongo nan je ya Bongo, Nasib Abdul maalufu kama Diamond Platinumz, ameweza kuibuka nacho ni suala la kuisaidia jamii ya wakazi wa Tandale, eneo alilozaliwa na kukulia katika maisha yake.
Katika kurasa wake wa Instagram, Diamond Platinumz ama pia akifahamika kama Chibu...
10 years ago
Dewji Blog11 Apr
Exclusive gossip: Nuh Mziwanda wa Shilole, ‘achafua’ hali ya hewa kwenye mtandao wa Instagram
Nuh Mziwanda akiwa na mchumba wake, Shilole
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Huenda hii ikawa ni tabia endelevu kwa baadhi ya mastaa wa Bongo hasa wasanii wa filamu, muziki na watu maalufu kwa kung’ang’ania kuutukuza ‘Umagharibi’, hasa kwa kupenda kutumia lugha ya Kiingereza ambacho mara zote kimekuwa kikiwatoa jacho..
Hivi sasa Nuh Mziwanda ambaye mwenye mahusiano ya uchumba na mwimbaji Shilole ameibua mijadara huku wengi...