Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EXCLUSIVE INTERVIEW: LA VEDA ATINGA GLOBAL, APANGUA SKENDO YA KUJICHUA

La Veda akiwa na Saxaphone yake wakati akifanyiwa Exclusive Interview kwenye studio za Global TV Online leo. KWA mara ya kwanza baada ya kukaa kimya kwa muda tangu atoke katika shindano la Big Brother Africa 'BBA', mshiriki aliyekuwa akiiwakilisha Tanzania katika Jumba la Big Brother Africa 2014, Irene Neema Vedastous 'La Veda' hivi punde amefanya Exclusive Interview na Global TV Online ambapo amefunguka mambo kibao ikiwemo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LA VEDA ATINGA GLOBAL, APANGUA SKENDO YA KUJICHUA






La Veda akiwa na Saxaphone yake wakati akifanyiwa Exclusive Interview kwenye studio za Global TV Online jana.
La Veda akipozi na mama yake mzazi, Mecky Vedastous ndani ya studio za Global TV Online zilizopo ndani ya Global Publishers.

La Veda wakati wa Exclusive Interview na Global TV Online.
La Veda akipozi na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.
...Akipozi na Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph.
...La Veda akiwa na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick...

 

11 years ago

GPL

KAJALA APANGUA SKENDO YA KUJIUZA

Stori: Imelda Mtema UZUSHI! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameitolea mbavuni skendo ya kujiuza nchini China inayowatafuna mastaa wengi wa kike Bongo.
Kajala ambaye mara kwa mara amekuwa akisafiri kwenda nchini China, alipozungumza na paparazi wetu aliruka viunzi na kufafanua: Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. “China nakwenda kwa pesa zangu, nalipa dola 5000 (business class), nina dili zangu za kikazi...

 

10 years ago

GPL

LA VEDA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO

Irene Neema Vedastous 'La Veda'. MTANZANIA aliyekuwa anashiriki shindano la Big Brother Hotshots, Irene Neema Vedastous 'La Veda', leo atakuwa ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd akifanya mahojiano ya Global TV Online kuanzia saa 5 asubuhi. Mshiriki huyo atakuwa na mambo mengi ya kuongea maana tangu atue Bongo hajafanya mahojiano sehemu nyingine yoyote. Hivyo wewe shabiki wa La Veda usikose kutembelea Ukurasa wetu...

 

11 years ago

GPL

EXCLUSIVE INTERVIEW: BATULIAHOFIA KUPORWA BWANA

Makala: Shakoor Jongo na Joseph Shaluwa
NI nadra sana kumkuta akiwa amenuna. Sura yake mara zote ni yenye tabasamu, uso wake una nuru na ang’avu wakati wote. Macho yake ni kivutio kingine kwa mrembo huyu. Weka yote pembeni, kutana naye akiwa nyuma ya kamera utamkoma! Maneno ya kuanisha sifa zake ni mengi. Yobnesh Yusuph'Batuli'. Naweza kuandika ukurasa mzima, lakini hayo yatoshe kueleza ubora wa mwananadada huyu katika...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Exclusive Interview with O’neal (BBA The Chase)

Botswana’s Big Brother Africa 2013 representative, O’neal was in Dar es Salaam, Tanzania recently for a Samsung event. He also had a chance to talk to us about his career as professional DJ, Africa Music, his relationship with Feza, Big Brother Africa and many more. Watch the interview below.

 

11 years ago

GPL

EXCLUSIVE INTERVIEW: NITAKUFA KWA AJALI - WASTARA

Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma Issa akifunguka jinsi jinamizi la ajali linavyoweza kumsababishia kifo kwani ana msururu mrefu wa matukio hayo. Aliyaongea hayo alipofanya Exclusive Interview na wanahabari wa GPL. UNGANA…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani