Exclusive: Mtanzania DABO ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (IRAWMA)
Unaweza kuwa humfahamu kwa vile hana kelele nyingi….TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA
Msanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music Awards (IRAWMA).
DABO anawania tuzo hizi katika kipengele cha Mtumbuizaji Mpya Bora, akikabiliwa na ushindani kutoka kwa wasanii MC...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Aug
Diamond achaguliwa kuwania tuzo mbili za IRAWMA 2015 za Marekani
10 years ago
Bongo526 Aug
Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA, Marekani kupitia ‘Mdogo mdogo’, anachuana na Davido, Awilo Longomba na Bracket
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cut2CU9O4STaXeyJwo2LiF2HE-83nykb09whYCGDoomJkkgvhefdIdDA9NZL0MLfLed9sD3oNFJtb0DFo66dm1Y/STAA.jpg?width=650)
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA CHOAMVA 2014
9 years ago
Bongo515 Oct
Ma-producer wenzangu wafanye kazi kwa bidii ili wapate nafasi ya kuwania tuzo za kimataifa — Sheddy Clever
10 years ago
Bongo504 Sep
Diamond atajwa kuwania vipengele 4 kwenye tuzo za CHOAMVA 2014
10 years ago
Bongo506 Oct
Best African Entertainer: Diamond ambwaga Davido kwenye tuzo za IRAWMA
9 years ago
Bongo517 Nov
Alikiba anahisi kafanyiwa mchezo mchafu kwenye tuzo za AFRIMA baada ya kukosa zote alizokuwa ametajwa
![12120276_163762000643678_1906855536_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12120276_163762000643678_1906855536_n1-300x194.jpg)
Alikiba anahisi kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye tuzo anazotajwa kuwania.
Muimbaji huyo alikuwa ametajwa kuwania vipengele vinne kwenye tuzo za Afrima zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria.
Kiba alitajwa kuwania Best Male Artist East Africa, Artist of The Year, Song of the Year na Song Writer Of The Year In Africa. Tuzo tatu kati ya hizi zimechukuliwa na Diamond waliyekuwa wametajwa pamoja.
Kupitia post aliyoweka kwenye Instagram, Alikiba amedai kuwa anaamini ‘kuna watu’...
10 years ago
Bongo519 Aug
Sporah kuhost tuzo za muziki wa injili Afrika, AGMA 2014
10 years ago
Bongo503 Oct
BASATA lawapongeza Diamond, Msechu na Vanessa kwa kutajwa kuwania tuzo za AFRIMA 2014