Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikiba anahisi kafanyiwa mchezo mchafu kwenye tuzo za AFRIMA baada ya kukosa zote alizokuwa ametajwa

12120276_163762000643678_1906855536_n

Alikiba anahisi kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye tuzo anazotajwa kuwania.

12120276_163762000643678_1906855536_n

Muimbaji huyo alikuwa ametajwa kuwania vipengele vinne kwenye tuzo za Afrima zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria.

Kiba alitajwa kuwania Best Male Artist East Africa, Artist of The Year, Song of the Year na Song Writer Of The Year In Africa. Tuzo tatu kati ya hizi zimechukuliwa na Diamond waliyekuwa wametajwa pamoja.

Kupitia post aliyoweka kwenye Instagram, Alikiba amedai kuwa anaamini ‘kuna watu’...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Peter Msechu aelezea furaha aliyoipata baada ya kutajwa kuwania tuzo (AFRIMA) kwa mara ya kwanza, ‘leo siogi’…!

Mwimbaji Peter Msechu ameelezea furaha yake baada ya kutajwa kuwania tuzo za kimataifa za ‘All African Music Awards’ 2014 (AFRIMA) za Nigeria (Ingia hapa), ambazo majina ya wanaoshindanishwa yalitangazwa wiki iliyopita. Msechu ambaye ametajwa kuwania tuzo hizo pamoja na Diamond na Vanessa Mdee, amesema kuwa ameweka rekodi katika historia yake ya muziki kwa kuwa hajawahi […]

 

9 years ago

Bongo5

Exclusive: Haya ndio mambo ambayo Alikiba anahisi kufanyiwa ili asifanikiwe

11351693_884493951620505_1998549226_n

Alikiba aliishut down Instagram Jumatatu hii kwa post iliyozua maswali mengi.

11351693_884493951620505_1998549226_n

Wengi waliitafsiri post hiyo kama amelalamika kukosa tuzo za Afrima zilizotolewa Jumapili hii nchini Nigeria, licha ya kutajwa kwenye vipengele vinne.

Akiongea na kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kufafanua kuhusu post hiyo ya Instagram iliyofutwa tayari, Kiba alisema aliamua kuandika hivyo kuwashukuru mashabiki wake kwa namna wanavyompigania na kuwahakikisha kuwa anajitahidi kwa nguvu zake zote kuwafurahisha...

 

10 years ago

GPL

BDF yafanya mchezo mchafu

Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa. Na Mwandishi Wetu KIKOSI cha BDF XI kimeshitukiwa kutokana na uamuzi wake wa kutangaza kutaka kujiondoa katika michuano ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga kwa madai ya ukata. Ratiba inaonyesha Yanga itaanza kuivaa BDF, Februari 14 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limeingilia na kuonya kwamba BDF XI inachotakiwa ni… ...

 

10 years ago

Mwananchi

DC abaini mchezo mchafu wa wauguzi

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ahmed Kipozi amesema atawachukulia hatua baadhi ya wahudumu wa Hospitali ya Bagamoyo wanaolalamikiwa na wagonjwa kuwa huwalazimisha kwenda kununua dawa nje wakati zinapatikana hospitalini hapo.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF, Yanga katika mchezo mchafu

>Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linadaiwa kushirikiana na uongozi wa Yanga kukusanya mapato kinyemela kukwepa kulipa deni la    madai ya wachezaji wake wa zamani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBC iache mchezo huu mchafu

KWA miaka mingi iliyopita palisikika kilio cha kutaka vyombo vya habari vya serikali vibadilike na kuacha kuwa vya propaganda za serikali, chama tawala au taasisi yoyote nyingine. Watu wengi waliipongeza...

 

10 years ago

Mtanzania

Mchezo mchafu kesi za dawa za kulevya

MADAWANa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KESI 18 za dawa za kulevya zilizokuwa zikisikilizwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam zinafutwa kwa sababu zilisajiliwa kimakosa katika katika mahakama hiyo na washtakiwa wanapandishwa upya kizimbani.
Hayo yalibainika jana baada ya kesi nne kufutwa na kufanya idadi ya kesi hizo kufikia nane baada ya nne nyingine kufutwa juzi, ambapo washtakiwa walisomewa upya mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kesi zote...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Kilosa wabaini mchezo mchafu

UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro umeanza kazi kwa kunasa makada wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Magomeni wilayani hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani