Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exclusive: Uliyokua huyajui ya Joh Makini alivyomfata A.K.A , Davido na wanaosema WEUSI wanapendelewa

Rapper Joh Makini kutoka kwenye headlines za hiphop Tanzania alikutana na reporter wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Exclusive Interview akaongelea kolabo yake na A.K.A na jinsi alivyojihami kama A.K.A asingetokea kwenye video, wanaosema WEUSI wanapendelewa, anamuhitaji nani mwingine kwenye kolabo na mengine mengi kwenye hii video hapa chini… Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]

The post Exclusive: Uliyokua huyajui ya Joh Makini alivyomfata A.K.A , Davido na wanaosema WEUSI wanapendelewa...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Unapenda kufahamu collabo ya Joh Makini na Davido imefikia wapi? Joh afunguka

joh davido

Kama unawasiwasi juu akiba ya collabo za kimataifa alizonazo John Simon Mseke a.k.a Joh Makini, ondoa hofu kwasababu ile collabo yake na nyota wa Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a DaVIDO imeshaingizwa kwenye computer ya studio ya The Industry.

joh davido

Davido anamkubali sana Joh Makini, na alithibitisha hilo September 18, 2015 alipovujisha taarifa ambayo muda wake ulikuwa bado, kuhusu yeye na rapper wa ‘Don’t Bother’, Joh Makini kufanya collabo.

Bongo5 ilipomtafuta Joh Makini wakati huo...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Weusi waacha historia Arusha, Joh Makini azungumza

Kwa zaidi ya miaka miwili wapenzi wa muziki jijini Arusha hawajashuhudia shangwe za Fiesta, lakini Jumamosi, November 1, Weusi walifanikiwa kuwapa show yenye ukubwa unaokaribiana na tamasha hilo la kila mwaka. Wakiandaa wao wenyewe, Weusi walifanikisha kuvutia nyomi la kutosha kwenye uwanja wa Triple A jijini Arusha. “Mungu ametuonesha kwamba tunaweza kufanya makubwa zaidi ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Davido atangaza ujio wa collabo yake na Joh Makini

Hakuna surprise nzuri kama ile ambayo hukuwahi kuona hata dalili, na kwenye muziki hasa kwa msanii wa Bongo hakuna kitu kizuri kama msanii mkubwa wa nje kuanza kutease ujio wa kazi yenu hata kabla yako. Ndicho kilichotokea usiku wa Sept 18 pale staa wa Nigeria, Davido alipotweet kuwa kuna collabo yake na Joh Makini inakuja. […]

 

9 years ago

GPL

JOH MAKINI ATOBOA SIRI YA KOLABO YAKE NA DAVIDO

Staa wa Hip Hop Bongo anayewakilisha Kundi la Weusi, John Simon ‘Joh Makini’ Staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ STAA wa Hip Hop Bongo anayewakilisha Kundi la Weusi, John Simon ‘Joh Makini’ ametoboa siri ya kolabo yake na staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ kuwa Davido ndiye alikuwa na shauku ya kufanya naye kolabo na kumtafuta kwenye mitandao ya kijamii. Akichonga na Showbiz,...

 

9 years ago

Bongo5

Weusi washoot video 2 mpya na Justin Campos, Afrika Kusini. Moja ni ya Joh Makini na nyingine ya G-Nako

Joh makini na G-Nako ambao wako nchini Afrika Kusini, wamekamilisha kazi iliyowapeleka huko ambayo ni kushoot video mbili. Video ya kwanza ni ya collabo ya Joh Makini na rapper wa Afrika Kusini, AKA ambayo (audio) ilirekodiwa May mwaka huu, rapper huyo alipokuja Tanzania kwenye Zari All White Party. Wimbo huo unaitwa ‘Don’t’ Bother’. Video ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Exclusive: Sauti Sol waeleza kwanini hawajaweka collabo walizorekodi na Alikiba, Vanessa Mdee na Joh Makini kwenye album yao mpya

Sauti-Sols-Album-Cover

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya wiki hii wametoa cover pamoja na orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yao mpya, ‘Live And Die In Afrika’ itakayozinduliwa kwa vyombo vya habari Ijumaa ya Novemba 20.

Sauti-Sols-Album-Cover

Baada ya mimi binafsi kuiona ‘tracklist’ ya album hiyo yenye nyimbo 15, nilipata maswali kuhusu kwanini hawajaweka nyimbo walizowashirikisha wasanii wa Tanzania kwenye album yao.

sauti tracklist

Katika mahojiano waliyofanya na kipindi cha Mseto cha Radio Citizen na Willy M.Tuva mwezi August, 2015,...

 

10 years ago

Bongo5

Video mpya ya Joh Makini ‘Nusu Nusu’ kutambulishwa ‘Exclusive’ na MTV Base Ijumaa (April 24)

Rapper wa Weusi Joh Makini anaingia kwenye orodha ya wasanii wa Tanzania wanaoliwania soko la kimataifa. Video mpya ya rapper huyo wa Weusi iitwayo ‘Nusu Nusu’ itaoneshwa kwa mara ya kwanza (Exclusive) Ijumaa April, 24 na kituo cha kimataifa MTV Base saa kumi na mbili jioni saa za Afrika Mashariki, kupitia kipindi chao cha kutambulisha […]

 

5 years ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Nikki wa II ft. Joh Makini & S2kizzy ‘hesabu’ Joh Mwalimu.. Wanafunzi ni Ebitoke, Ben Pol, Quick na wengine

Unakaribishwa kuitazama ngoma mpya ya Nikki wa Pili ambayo amewashirikisha Joh Makini na S2Kizzy inaitwa ‘hesabu’ ambapo humo ndani Joh Makini amecheza kama Mwalimu huku Wanafunzi darasani wakiwa ni Ebitoke, Ben Pol, Quick Rocka, Linah na wengine

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani