Extra Bongo; bendi inayoongoza kwa burudani ya ‘unenguaji’ nchini
Mashabiki waliowahi kuhudhuria maonyesho ya bendi ya muziki wa dansi nchini ya Extra Bongo watakubaliana nami kwamba ina wacheza shoo (madansa) makini, wenye uelewa mpana na pengine kukonga zaidi nyoyo za mashabiki katika tasnia hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBENDI YA EXTRA BONGO IMEZINDUA ALBAMU YAKE YA ‘MTENDA AKITENDEWA’ DAR LIVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JnhcZTzQDt0Dm8bDsobWAphoXIUD6YD-jOiRDe2Csd5QcSUb7KTiNlf4mlYeTJXKOU4QlbROoYcB63O7iZrOiqD/14.jpg?width=650)
KAMBI YA EXTRA BONGO YAJIFUA KWA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YvF9Axv7IMTqNvNZOhRfE1wb4-n51-rbqtXYtGeZHJD8bNMckvf19tdu2k*3pafV0tQbMbHUdB8Gk167q1uW1S2/EXTRABONGO3.jpg?width=650)
EXTRA BONGO MZIGONI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHRc9kmhhf00Rvhmpy-0zoIS94zbcyrMesbd3szC9lqmHNr0W8IMf*HVreOTtUwNp-p3SqFPti89kXR0vt98cGV/banza.jpg?width=650)
BANZA AJISALIMISHA EXTRA BONGO
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Extra Bongo yapata msiba
MKURUGENZI Msaidizi wa bendi ya Extra bongo, Shuweya Khamis ‘Mama Shushuu’, amefariki dunia jana . Mama Shushuu ambaye pia ni mke wa Mkurugenzi Mkuu wa bendi hiyo Ally Choki amefariki...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Muumini apagawisha Extra Bongo
MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa dansi, Muumini Mwinjuma, aliwapagawisha mashabiki wakati akiimbia bendi ya Extra Bongo katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi. Muumini alikuwa kivutio kikubwa pale alipoimba nyimbo zake...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Extra Bongo kuzindua ‘Mtenda Akitendewa’
BENDI inayokuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini, Extra Bongo ‘Wazee wa Kimbembe, Kizigo’ wanatarajia kuzindua albamu yao mpya ijulikanayo kama ‘Mtenda Akitendewa’. Uzinduzi huo wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Extra Bongo, Yamoto ndani ya Meeda
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa Kimbembe’, Jumamosi hii itaungana na kundi la Yamoto linaloongozwa na Saidi Fela ‘Mkubwa Fela’ kuwasha moto wa burudani...