Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FA: HAKUNA VURUGU ZA SIASA

Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Hamis Mwinjuma maarufu kama MwanaFA. Na Mwandishi Wetu MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Hamis Mwinjuma maarufu kama MwanaFA, amesema pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuwa na msisimko mkubwa kuliko wakati mwingine wowote, haamini kama kutakuwa na vurugu. Alisema hamasa iliyooneshwa na vijana mwaka huu ni ishara ya watu kukua kiakili na kutambua wajibu na haki zao, akidai...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HAKUNA MTANZANIA ALIEFARIKI KWA VURUGU ZA AFRIKA KUSINI - MEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
SERIKALI imesema hakuna mtanzania aliyepoteza maisha kwa vurugu zinazoendelea nchini Afrika Kusini kutokana na wenyeji wa nchi hiyo kuwachukia wageni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe amesema watanzania waliofariki nchini Afrika Kusini hawatokani na vurugu za wenyeji kuwakataa wageni.
Membe amesema tatizo hilo lilianza 2008 na 2014 hiyo lilichangiwa na Mfalme wa nchini...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaonya siasa za kihuni, vurugu

Hawa GhasiaVYAMA vya siasa nchini vimetakiwa kuendesha siasa za kistaarabu na kutokuwa vyanzo vya vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo kwenye baadhi ya maeneo nchini viongozi wameripotiwa kutekwa wakati wakirejesha fomu huku maeneo mengine watu wakitajwa kuzuia uandikishaji wa wapiga kura.

 

10 years ago

Mwananchi

VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini

Watanzania 23 waishio Afrika Kusini wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini humo ili kupewa ulinzi wa maisha yao yaliyo hatarini kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni.

 

9 years ago

GPL

VURUGU KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI HII SIYO SIASA

Na Igenga Mtatiro, Tarime Hii siyo siasa! Ndivyo walivyokuwa wakisema watu wengi mjini hapa baada ya hivi karibuni kushuhudia mtu mmoja, Mwita Bhoke Watei (37), mkazi wa Kijiji cha Nyandage, Kata ya Nyanungu, Tarime mkoani hapa, akiuawa kwa kukatwa mapanga katika vurugu za kampeni za uchaguzi zinazoendelea nchini kote kwa sasa......Soma zaidi===>http://bit.ly/1J9g6dp ...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakuna siasa kwenye mabadiliko ya nauli - Sumatra

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Gilliad Ngewe amesema suala la mabadiliko ya nauli nchini siyo la uamuzi wa kisiasa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Hakuna rafiki na adui wa kudumu katika siasa

HADI sasa Edward Lowassa na Frederick Sumaye, wamejikuta pamoja katika umoja wa vyama vinne vya u

Privatus Karugendo

 

10 years ago

Vijimambo

"KATIKA SIASA HAKUNA MALAIKA WALA SHETANI"-Maria Sarungi

Tanzania tunaweza kujenga jamii ya kidemokrasia na itajengwa na SISI wananchi na si wanasiasa. Kwa sababu wanasiasa wako bize kutwaa madaraka – mwanasiasa yoyote yule – tusidanganyike! Hivyo basi sisi wananchi tukiwa kama wanachama wa vyama, kama wapiga kura, tuhakikishe tunakuwa mashabiki wa demokrasia na uwazi kwanza na si mashabiki wa vyama na wanasiasa.

Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali kwa upande wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinachonisukuma kusema kuwa tunachoona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani