Fabiola Awalalamikia Mastaa Kuwachuna
UKWELI hali ya soko la filamu changamoto ni nyingi kuliko mafanikio kwa watengenezaji wa filamu hawa watayarishaji wachanga, mmoja kati ya waathirika waliopata usumbufu ni Fabiola Hondi anakutana na karaha kama si usumbufu kutoka kwa wasanii wakubwa.
“Watayarishaji wapya tunanyanyaswa sana na baadhi ya wasanii wakubwa, unaweza kumlipa msanii mkubwa pesa mliyopatana lakini inakutoka pesa nyingine kumkamata afanye kazi yako na wanataka pesa nyingi, lakini wakichezeshwa na wasanii wenzao...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Moyes awalalamikia waamuzi England
10 years ago
Dewji Blog06 Mar
Askari Fabiola apongezwa kwa kutwaa medali Kilimanjaro Marathon 2015
Mshindi wa Kilimanjaro marathon 2015 WP 4615 CPL Fabiola William wa jeshi la polisi mkoa wa Singida (katikati) akipunga mkono akiwa kwenye msafara uliompokea ukielekea ofisini kwa kamanda wa polisi mkoa wa Singida. WP Fabiola amezaliwa kata ya Ilongero jimbo la Singida kaskazini kata ambayo pia Inspekta Jenerali wa Jeshi la polisi nchini, Ernest Mangu ndiko alikozaliwa.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida,limeahidi kuendelea kuwahimiza na kuwahamasisha askari wake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...