Facebook yadaiwa kuwaficha magaidi
Bunge la Uingereza limedai kuwa kampuni ya facebook inawaficha magaidi,swala lililopingwa na kampuni hiyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NNOl3lRXFNg/VA3DkkzLwoI/AAAAAAAGh-8/UG7ItRhJYsY/s72-c/unnamed.jpgh.jpg)
FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.
PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPolisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,
Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...
Stuttgart,Ujerumani,
![](http://2.bp.blogspot.com/-NNOl3lRXFNg/VA3DkkzLwoI/AAAAAAAGh-8/UG7ItRhJYsY/s1600/unnamed.jpgh.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Serikali yalaumiwa kuwaficha wauza ‘unga’
SERIKALI imelaumiwa kwa kushindwa kuyaweka hadharani majina ya vigogo wanaojihusisha na dawa ya kulevya. Lawama hizo zilitolewa mjini hapa jana na Padri Baptisti Mapunda wa Shirika la White Fathers la...
10 years ago
Bongo519 Nov
Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’
Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Trump katika handaki: Tunachojua kuhusu handaki la Whitehouse linalotumika kuwaficha marais wakati wa dharura
Maandamano na ghasia kufuatia kifo cha George Floyd yaliikaribia Ikulu ya Whitehouse.
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Magaidi waua watu 6 Kenya
Polisi mjini Nairobi Kenya wamedhibitisha watu 6 wameauawa baada ya shambulizi la kigaidi katika mtaa wa Eastleigh
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mazito yaibuka‘magaidi’ Kidatu
Imamu awakana Makwendo na wenzake
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
DEREVA wa bajaji, Alphonce Maurus, aliyebeba watu wanaodhaniwa kuwa watuhumiwa wa ugaidi, Kidatu wilayani Kilombero, ameweka hadharani namna alivyomfahamu mmoja wao.
Amesema mtuhumiwa ambaye aliuawa na wananchi baada ya kumjeruhi polisi, Hamad Makwendo, alijihusisha na mchezo wa kareti na masuala ya dini ya Kiislamu.
Dereva huyo huyo aliwaeleza waandishi wa habari waliofuatilia taarifa za kina za tukio hilo jana kwamba Makwendo...
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Magaidi walijifanya wahamiaji:Ufaransa
Waziri mkuu wa Ufaransa,Manuel Valls, amesema kwamba waliotekeleza shambulio walijifanya Wahamiaji.
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Iran yakana uhusiano na magaidi
Serikali ya Iran imekana kuwa na uhusiano wowote na wanaume wawili waliokamatwa wakikisiwa kupanga mashambulizi nchini kenya
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania