Facebook yaonywa ikome kudukua Ubelgiji
Mahakama moja nchini Ubelgiji imeipa Facebook saa 48 kukoma kuwadukua watu ambao hawajajiunga na mtandao huo wa kijamii nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Faragha:Facebook yashtakiwa Ubelgiji
Uamuzi unaotaka mtandao wa facebook kufanya mabadiliko muhimu katika mazingira yake ya faragha nchini Ubelgiji umecheleweshwa huku nakala za mahakama zikitafsiriwa kiingereza.
11 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI
9 years ago
BBCSwahili22 Oct
Apple:Hakuna anayeweza kudukua iPhone
Kampuni ya kutengeneza simu Apple, imefichua mahakamani kuwa hakuna anayeweza kudukua siri za wateja wa IPhone.
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Hamas yafanikiwa kudukua simu za wanajeshi wa Israel kupitia 'vipusa'
Wapiganaji wa Hamas walidukua simu aina ya smartphone za wanajeshi wa Israel kwa kujifanya wanawake , limesewma jeshi la Israel.
10 years ago
BBCSwahili16 May
Indonesia yaombwa ikome kupima Ubikra
Indonesia imeshauriwa ikomeshe sheria inayowalazimu wanawake kuthibitisha ni mabikira kabla ya kujiunga na jeshi la taifa.
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Majaliwa aagiza migogoro ya ardhi ikome
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya ardhi kwenye maeneo yao husika.
11 years ago
Habarileo24 Feb
Bulembo ataka tabia ya kukataa watendaji ikome
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekemea tabia ya viongozi wa wilaya na mikoa wanaokataa watendaji wanaopelekwa kufanya kazi katika maeneo yao.
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Ugiriki yaonywa Kura ya 'La'
Kanda inayotumia sarafu ya Euro inasema kura ya 'La' haitasaidia Ugiriki kutatua matatizo yake ya kifedha.
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Bodi ya ununuzi yaonywa
Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Nchini (PSPTB), imetakiwa kuwachukulia hatua za kinidhamu, wanachama wake watakaobainika kuisababishia hasara Serikali kutokana na kuingia mikataba ya ununuzi ambayo haina masilahi kwa taifa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania