Indonesia yaombwa ikome kupima Ubikra
Indonesia imeshauriwa ikomeshe sheria inayowalazimu wanawake kuthibitisha ni mabikira kabla ya kujiunga na jeshi la taifa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Je,michezo huathiri ubikra wa wasichana?
Mwalimu mkuu wa shule moja amedaiwa kuwazuia wasichana katika shule hiyo kutoshiriki katika michezo kwa hofu kwamba huenda wakapoteza ubikira.
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Mwanafunzi aliyekua ana nadi ubikra akoma
Mwanafunzi aliyekua ananadi ubikra wake kwenye mtandao wa Internet amesitisha kampeini yake baada ya kubadili mawazo kulihusu hilo
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Majaliwa aagiza migogoro ya ardhi ikome
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya ardhi kwenye maeneo yao husika.
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Facebook yaonywa ikome kudukua Ubelgiji
Mahakama moja nchini Ubelgiji imeipa Facebook saa 48 kukoma kuwadukua watu ambao hawajajiunga na mtandao huo wa kijamii nchini humo.
11 years ago
Habarileo24 Feb
Bulembo ataka tabia ya kukataa watendaji ikome
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekemea tabia ya viongozi wa wilaya na mikoa wanaokataa watendaji wanaopelekwa kufanya kazi katika maeneo yao.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/LQuoipMVZVA/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Ugiriki yaombwa kusema, 'La'
Waziri Mkuu Alexis Tsipras amesisitiza kukataa masharti ya wakopeshaji siyo kuondoka EU.
10 years ago
BBCSwahili01 Sep
Marekani yaombwa silaha Ukraine
Mkuu wa baraza la kamati ya mahusiano ya Marekani ameiomba nchi yake kupeleka silaha Ukraine ili kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Mataifa yaombwa kuungana dhidi ya IS
Waziri mkuu wa Australia, Tony Abbott, ameyaomba mataifa ya Asia-Pacific kuungana ili kusaidia katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania