Mataifa yaombwa kuungana dhidi ya IS
Waziri mkuu wa Australia, Tony Abbott, ameyaomba mataifa ya Asia-Pacific kuungana ili kusaidia katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 Jul
Mikongo mataifa ya Afrika kuungana kuboresha mawasiliano
![Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, viongozi wa serikali wa mataifa mbalimbali ya africa, pamoja na taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zile zinazo tengeneza vifaa vya mawasiliano.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/18.jpg)
![Baadhi ya washiriki katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, viongozi wa serikali wa mataifa mbalimbali ya africa, pamoja na taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zile zinazo tengeneza vifaa vya mawasiliano.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/25.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wadau watakiwa kuungana vita dhidi ya VVU
MGANGA Mkuu wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Dk. Godfrey Njile, amewataka wadau nchini kuungana, ili kupambana na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU). Dk Njile alitoa kauli hiyo hivi karibuni katika...
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Raia waandamana dhidi ya Umoja wa Mataifa-Juba
Raia wa Sudan Kusini wameandamana mjini Juba dhidi ya Umoja wa Mataifa wakiishutumu kwa kuwapa waasi silaha
10 years ago
Vijimambo15 Nov
UMOJA WA MATAIFA WATOA MWONGO DHIDI YA UWINDAJI HARAMU WA TEMBO AFRIKA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-VbL769tY46U%2FVGay1TdKAGI%2FAAAAAAADNAw%2FyyGk9jZiG44%2Fs1600%2F149108.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Na Mwandishi Maalu, New York
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na Madawa ya Kulevya na Uhalifu mwingine ( UNODC) Novemba 13 imetangaza mwongozo ambao utachangia katika juhudi zinazoendelea za kukabiliana na mauaji holela ya tembo na biashara haramu ya pembe za ndovu hususani Afrika.
UNODC imetoa mwongozo huo kwa kile inachosema, ni kuongezeka kwa biashara hiyo ambayo sasa makundi ya kihalifu yanajihusisha kwa kasi, jambo linalotishia kutoweka kabisa kwa mnyama huyo....
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jHtd8WY3WQ4/U5u6EBmiLeI/AAAAAAAFqec/7D3j_6Fa5lQ/s72-c/unnamed+(9).jpg)
Tanzania yahudhuria mkutano wa tathmini ya Mkakati wa Umoja wa Mataifa dhidi ya ugaidi
Na Mwandishi Maalum, New York
Wakati wajumbe wanaoshiriki mkutano wa tathmini kuhusu Mkakati wa Umoja wa Mataifa dhidi ya ugaidi wakilaani matukio ya kigaidi yanayotekea katika nchi mbalimbali, baadhi ya wajumbe hao wametaka matukio hayo yasihusishwe na madhehebu ya dini iwayo yoyete ile.
Mkutano huo wa siku mbili umemalizika siku ya Ijumaa hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa na Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe....
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lrhoagJJjlE/VbsHYPK9BvI/AAAAAAAHs3c/twJiQst18Rc/s72-c/UntitledN1.png)
UMOJA WA MATAIFA WAPITISHA KWA KAULI MOJA AZIMIO DHIDI YA UJANGILI WA WANYAMAPOLI
![](http://4.bp.blogspot.com/-lrhoagJJjlE/VbsHYPK9BvI/AAAAAAAHs3c/twJiQst18Rc/s640/UntitledN1.png)
Na Mwandishi Maalum, New York
Kwa mara ya kwanza jana alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa kauli moja, azimio la kihistoria linalolenga...
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Upinzani washindwa kuungana Uganda
Rais wa Uganda Yoweri Museveni huenda akapata afueni baada ya muungano wa upinzani kushindwa kuungana kufuatia mkutano mrefu wa wiki moja ili kukubaliana kuhusu mgombea mmoja katika uchaguzi wa mwaka ujao.
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Nape abeza Ukawa kuungana
Siku moja baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutangaza kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais na ubunge majimboni, CCM kimebeza hatua hiyo kikisema viongozi hao hawawezi kukaa zizi moja.
10 years ago
VijimamboWAKULIMA WA MAZAO YA HORTICULTURE WAHAMASISHWA KUUNGANA.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania