Mikongo mataifa ya Afrika kuungana kuboresha mawasiliano
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, viongozi wa serikali wa mataifa mbalimbali ya africa, pamoja na taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zile zinazo tengeneza vifaa vya mawasiliano.
Baadhi ya washiriki katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Mataifa yaombwa kuungana dhidi ya IS
10 years ago
GPLHUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GKIcKhusLMs/VUCUtnWsH3I/AAAAAAAHT9k/9vYNpEgPnKE/s72-c/unnamed.jpg)
Vodacom kujikita zaidi kuboresha huduma za mawasiliano vijijini
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f_GbUC0xJQI/VMePOIgw93I/AAAAAAAG_wM/eYIM4Aygs5Q/s72-c/IMG_6295.jpg)
TTCL na Huawei waingia mkataba wa kuboresha mawasiliano nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-f_GbUC0xJQI/VMePOIgw93I/AAAAAAAG_wM/eYIM4Aygs5Q/s1600/IMG_6295.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-F81lquJVHtE/VMePOT6D9yI/AAAAAAAG_wY/aW9QguhZNaQ/s1600/IMG_6301.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8XONTZxJWEQ/VNCem4aqFjI/AAAAAAACzPc/s7XW7Kq_12c/s72-c/unnamed.jpg)
Huawei na Umoja wa Afrika zasaini makubaliano kuboresha miundombinu ya teknohama Afrika
![](http://2.bp.blogspot.com/-8XONTZxJWEQ/VNCem4aqFjI/AAAAAAACzPc/s7XW7Kq_12c/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Umoja wa Mataifa kuboresha vyoo vya Shule 10 Kilimanjaro
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Mwandishi Wetu, Moshi
MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa nchini,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_OtleCoIhHQ/XvMxIh3FjUI/AAAAAAALvOs/rn4PFkjMPmMX37Mm8JZz5VUy4EGCj3OjgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-24%2Bat%2B1.30.35%2BPM.jpeg)
Sekta ya mawasiliano ya simu inavyoweza kuboresha ubunifu wa kiteknolojia Tanzania
![](https://1.bp.blogspot.com/-_OtleCoIhHQ/XvMxIh3FjUI/AAAAAAALvOs/rn4PFkjMPmMX37Mm8JZz5VUy4EGCj3OjgCLcBGAsYHQ/s400/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-24%2Bat%2B1.30.35%2BPM.jpeg)
Katika miaka ya hivi karibuni serikali ya Tanzania ikishirikiana na sekta binafsi imechukua hatua mbalimbali kuimarisha uchumi. Nyingi ya juhudi hizi ni sehemu ya mpango wa dira ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wakati ya viwanda ifikapo mwaka 2025.
Dira hii inaonyesha mwelekeo wa wapi nchi inakusudia kufika ifikapo mwaka 2025. Moja ya malengo makubwa ya dira hiyo ni kuhakikisha Tanzania inakuwa na uchumi imara, shindani na stahimilivu.
Kuwekeza katika miundombinu ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eAkQ2xyNfS6YsHWC6JXhIcpXbrbkeUR9MRh2iNx96vtLJQ*X3CJkOCA65ue-VaidLqZmNjMo-C9wUJc8ysfJ3CLp3D2EJDlF/006.MKATABA.jpg?width=650)
VODACOM KUJIKITA ZAIDI KUBORESHA HUDUMA ZA MAWASILIANO VIJIJINI