WAKULIMA WA MAZAO YA HORTICULTURE WAHAMASISHWA KUUNGANA.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali, Alfred Mzurikwao, akizungumza na wakulima mbali mbali alipokuwa amemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbarali katika sherehe za Wakulima zilizofanyika katika skimu ya umwagiliaji ya Ilaji iliyoko Mbarali mkoani Mbeya.
Afisa wa TAHA, Isac Ndemanhile, akizungumza na wakulima zaidi ya 300 waliohudhuria sherehe za wakulima katika skimu ya Ilaji.
Maafisa wa TAHA wakitoa maelezo kwa mgeni rasmi katika moja ya mashamba ya wakulima yanayoendeshwa kwa kufuata teknolojia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAKULIMA WAHAMASISHWA KUWEKA AKIBA
Wito huo umetolewa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Dkt. Benson Ndiege wakati alipotembelea Chama cha Ushirika wa Wakulima wadogo wadogo wa Kilimo cha umwagiliaji Mpunga Dakawa (UWAWAKUDA LTD) kwenye ziara ya Kikazi, Mkoani...
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Vigezo ubora wa mazao vyagharimu wakulima
9 years ago
Habarileo10 Sep
Magufuli kufuta ushuru wa mazao ya wakulima
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, ameendelea kuchanja mbuga katika kampeni zake, huku akitoa ahadi zenye kuyagusa makundi mbalimbali ya Watanzania, safari hii akiahidi kuwakomboa wakulima kwa kuwaondolea mzigo wa ushuru wa mazao.
11 years ago
MichuziWAKULIMA WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO
Wakulima wametakiwa kutumia fursa ya kuongeza thamani mazao yao ili waweze kunufaika zaidi kiuchumi kuliko kuuza mazao yao yakiwa ghafi kwani watakuwa wanayonywa na kuzidi kuwa masikini.
Wito huo umetolewa jana na Ofisa masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia, wakati akizungumza na waandishi wa habari, kwenye maonyesho ya wakulima nane nane, kanda ya kanda ya kaskazini yanayoendelea jijini Arusha.
Alisema kupitia Farm Africa wakulima wengi wa ufuta wa mkoa huo...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Wakulima ongezeni thamani ya mazao yenu
5 years ago
Michuzi11 years ago
Mwananchi11 Aug
Bodi za mazao zatakiwa kutatua kero za wakulima
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-l5ygRtXQB3Y/Xr_x5kbQv0I/AAAAAAALqe0/Be56ozAYECoSzm_vAZwRZue1n2WVyUmRwCLcBGAsYHQ/s72-c/56e0b4aa-f63b-4e86-a93b-8b99c34ffdb4.jpg)
WAKULIMA WILAYANI KAHAMA WAIOPONGEZA NFRA UNUNUZI WA MAZAO
Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nyanhembe Agricultural Farm Khamis Mgeja ambayo inayojishughulisha na shughuli za Kilimo na ufugaji alipotembelewa na jopo la waandishi wa habari kwenye...
5 years ago
MichuziSERIKALI HAITOPANGA BEI ZA MAZAO YA WAKULIMA-MHE MGUMBA
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imesisitiza kuwa haitopanga wala kuingilia bei za mazao ya wakulima nchini badala yake wakulima watajipangia bei na kuuza wenyewe ilihali serikali ikisalia kama msimamizi.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb)...