Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli kufuta ushuru wa mazao ya wakulima

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, ameendelea kuchanja mbuga katika kampeni zake, huku akitoa ahadi zenye kuyagusa makundi mbalimbali ya Watanzania, safari hii akiahidi kuwakomboa wakulima kwa kuwaondolea mzigo wa ushuru wa mazao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zalipwa deni la ushuru wa mazao

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraSHILINGI bilioni 1.4 zimelipwa kwa halmashauri mbalimbali nchini, zikiwa ni deni la ushuru wa mazao inayodaiwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).

 

10 years ago

Habarileo

'Ushuru mazao ya misitu unaumiza wananchi'

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi wananchi wa wilaya za Rufiji na Mkuranga, kuwa ataishauri Serikali ili iangalie uwezekano wa kupunguza ushuru unaotokana na misitu.

 

10 years ago

GPL

PERAMIHO: USHURU WA MAZAO, KUKOSEKANA KWA MAWASILIANO YA SIMU, MAJI NA UMEME VYAWATESA WANANCHI

Peramiho ni moja kati ya majimbo saba yaliyopo kwenye Mkoa wa Ruvuma, linaloongozwa na Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Wiki iliyopita, Gazeti la Uwazi lilifunga safari mpaka kwenye jimbo hilo ambapo mwandishi wetu alifanya mahojiano na wananchi mbalimbali walioeleza matatizo yanayowakabili na jinsi mbunge wao anavyotekeleza ahadi zake. Baada ya hapo,...

 

9 years ago

StarTV

Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru

Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa  ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.

 

Wakulima hao wamesema bado  kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.

 

Zao la tumbaku...

 

9 years ago

Mwananchi

Vigezo ubora wa mazao vyagharimu wakulima

Wakulima mkoani Rukwa wanalazimika kuuza mazao yao kwa walanguzi kwa bei ya chini kwa sababu baadhi hayakidhi vigezo kwenye masoko ya ndani na nje ya nchi.

 

10 years ago

Vijimambo

WAKULIMA WA MAZAO YA HORTICULTURE WAHAMASISHWA KUUNGANA.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali, Alfred Mzurikwao, akizungumza na wakulima mbali mbali alipokuwa amemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbarali katika sherehe za Wakulima zilizofanyika katika skimu ya umwagiliaji ya Ilaji iliyoko Mbarali mkoani Mbeya.Afisa wa TAHA, Isac Ndemanhile, akizungumza na wakulima zaidi ya 300 waliohudhuria sherehe za wakulima katika skimu ya Ilaji.Maafisa wa TAHA wakitoa maelezo kwa mgeni rasmi katika moja ya mashamba ya wakulima yanayoendeshwa kwa kufuata teknolojia...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima ongezeni thamani ya mazao yenu

Unapozungumzia tabaka la watu maskini hapa Tanzania, bila shaka utaanza kutaja wakulima. Wale wadogo wamekuwa wakiishi maisha duni licha ya kuwa na mashamba makubwa, hali nzuri ya hewa na nguvu kazi ya kutosha

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO

Na Woinde Shizza,Arusha
Wakulima wametakiwa kutumia fursa ya kuongeza thamani mazao yao ili waweze kunufaika zaidi kiuchumi kuliko kuuza mazao yao yakiwa ghafi kwani watakuwa wanayonywa na kuzidi kuwa masikini.
Wito huo umetolewa jana na Ofisa masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia, wakati akizungumza na waandishi wa habari, kwenye maonyesho ya wakulima nane nane, kanda ya kanda ya kaskazini yanayoendelea jijini Arusha.  
Alisema kupitia Farm Africa wakulima wengi wa ufuta wa mkoa huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Zao la ufuta limeanza kufuta umaskini kwa wakulima vijijini

Nimeingia katika Kijiji cha Erri, Tarafa ya Mbugwe Wilaya ya Babati, mkoani Manyara. Ni eneo ambalo uchumi wa wakazi wengi wanategemea kilimo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani