Facebook yasema itainunua WhatsApp
Facebook imesema kuwa itanunua mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa simu WhatsApp kwa kima cha dola bilioni kumi na sita.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLFACEBOOK KUINUNUA WHATSAPP
KAMA ulikuwa hufahamu, habari kuu katika ulimwengu wa Teknohama kwa siku ya leo ni Facebook kuinunua Whatsapp kwa bei ya dola bilioni 19. Ununuzi huo ni wa programu pekee na siyo kampuni ingawa wafanyakazi wa Whatsapp watajiunga na timu ya Facebook moja kwa moja na kazi za Whatsapp zitaendelea kubaki kama zilivyo, alieleza Jan Koum ambaye ni muanzilishi wa Whatsapp. Kwa wasiofahamu, Whatsapp ni moja ya programu za simu za...
11 years ago
TheCitizen21 Feb
Facebook offers WhatsApp $19bn deal
Facebook is betting huge on mobile with an eye-popping cash-and-stock deal worth up to $19 billion for Internet Age smartphone messaging service WhatsApp.
9 years ago
MichuziDW YAKANUSHA UJUMBE UNAOSAMBAA FACEBOOK NA WHATSAPP
Idhaa ya kiswahili ya DW hapa nchini inapenda kuwataarifu kuwa Wapendwa wake na watumiaji wa ukurasa wetu wa Facebook na wasikilizaji kwa jumla.
Kuna ujumbe unaosambazwa kwa njia wa Whatsapp katika mitandao ya kijamii kwamba DW inakusanya maoni kuhusu wagombea wawili wakuu wa uchaguzi wa Tanzania, John Magufuli wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Tungependa kuwajulisha hatufanyi utafiti wowote wa maoni kuhusu wagombea hao.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Dili la Facebook, WhatsApp lilivyotengeneza mabilionea vijana
Mtandao wa kijamii wa Facebook umenunua programu ya huduma za meseji ya WhatsApp kwa dola za marekani bilioni 19 (TSh 30.9 trilioni) katika taarifa iliyotoka mapema leo.
11 years ago
TheCitizen20 Feb
Facebook bets on #mobile, buys #WhatsApp for $19 billion
Facebook is betting huge on mobile with an eye-popping cash-and-stock deal worth up to $19 billion (TSh 30.9 trillion) for Internet Age smartphone messaging service WhatsApp.
5 years ago
BBC20 May
Burundi election: Facebook, Twitter, WhatsApp blocked
Voters choose a new president as the current leader moves to a new elevated role of "supreme guide".
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Facebook kununua WhatsApp kwa Sh1.36 trilioni
Kampuni ya Mtandao wa Jamii ya Facebook imesema itanunua mtandao wa mawasiliano wa ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa Dola 19 bilioni za Marekani (Sh1.36 trilioni), ili kuimarisha umaarufu wake hasa miongoni mwa vijana.
11 years ago
Michuzi20 Feb
NEWS ALERT: Whatsapp yanunuliwa na Facebook, nini tutegemee?
Kama ulikuwa haufahamu, habari kuu katika ulimwengu wa Teknohama kwa siku ya leo ni Facebook kuinunua Whatsapp kwa bei ya dola bilioni 19.
Nunuzi hilo ni la programu pekee na siyo kampuni ingawa wafanyakazi wa whatsapp watajiunga na timu ya Facebook moja kwa moja, mission za whatsapp zitaendelea kubaki kama zilivyo, alieleza Jan Koum ambaye ni muanzilishi wa whatsapp.
Kwa wasio fahamu, whatsapp ni moja ya programu ya simu za mkononi inayokuwezesha kutuma ujumbe wa simu kupitia kwenye...
Kwa wasio fahamu, whatsapp ni moja ya programu ya simu za mkononi inayokuwezesha kutuma ujumbe wa simu kupitia kwenye...
11 years ago
MichuziDAKIKA 90 ZA DUNIA: Kwanini Facebook imetumia dola bilioni 19 kununua WhatsApp?
Photo: Mobile88.com
Kama wewe ni mmoja wa wanaotumia njia ya mawasiliano iliyojipatia umaarufu ya WhatsApp, basi ujue kuwa nawe ni miongoni mwa wateja takribani nusu bilioni walioufanya mtandao huo kuwa maarufu zaidi duniani kwa kipindi kifupi tu.
Ni umaarufu huu uliofanya kampuni kubwa ya mawasiliano ya Facebook wiki hii kuona umuhimu wa kutumia dola za kimarekani bilioni 19 kununua WhatsApp.
Lakini kwanini kampuni itumie kiasi hicho kikubwa kwa kampuni kama hii?
Hii ni sehemu ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania