Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fahamu kisa halisi cha Wanafunzi Geita Sekondari kusimamishwa masomo.

 

Wanafunzi wa Shule ya kiislamu ya Geita Sekondari wamesimamishwa masomo baada ya kumkataa Mkuu wa Shule hiyo Daud Odulu kwa madai ya kutumia madaraka yake vibaya na kutoa amri za wanafunzi kupigwa na mlinzi wa shule hiyo watakapoonekana nje majira ya kuanzia saa tatu usiku.

Mwalimu Odulu anadaiwa kuwa ndio chanzo cha kusababisha mwanafunzi mmoja aitwaye Fadhili Zuberi wa kidato cha nne kupigwa na rungu kichwani na Mlinzi na kusababisha hali yake kuwa mbaya na kupelekwa Hospitali ya Wilaya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOCHUKUA MASOMO YA SHAHADA YA UZAMILI NA UZAMIVU KATIKA RELI KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOUTHWEST JIATONG CHA NCHINI CHINA WATEMBELEA WIZARA YA UCHUKUZI LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Monica Mwamunyange akibadilishana kadi na Profesa Liu Xueyi kutoka Chuo kikuu cha Southwest Jiatong, wakati mkufunzi huyo na wanafunzi wa chuo hicho walipotembelea wizara ya Uchukuzi leo mchana kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya reli hasa reli ya mwendo kasi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi Monica Mwamunyange, akifafanua jambo kwa Wakufunzi na wanafunzi wanaochukua shahada za Uzamili na Uzamivu katika Reli kutoka Chuo...

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN-CHINA (WUTASA) KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2015/16

1Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya na wazamani. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).2Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).3

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

KWA NINI  HIJA MOJA HALISI IKO KIGOMA?
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA ESTONIA,PIA ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA Tallinn KUJADILI FURSA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA TANZANIA

Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic,Mh. Dora Mmari Msechu (kushoto) akipeana mkono na Rais wa Estonia,Mh. Toomas Hendrik Ilves,wakati alipofika Ikulu ya nchi hiyo kuwasilisha hati utambulisho wake kwa Rais.Mhe. Balozi Dora Msechu (wa pili kulia) na timu yake wakiwa kwenye Mazungumzo na baadhi ya viongozi wa Chuo  cha Tallinn University of Technology. Mazungumzo yao yalilenga kuanzisha ushirikiano na vyuo vya Tanzania (UDSM na UDOM) na pia kutafuta fursa zaidi za masomo ya...

 

9 years ago

StarTV

Punda wakwamisha masomo Shule Sekondari Nyerere

 

Wanafunzi wa shule ya sekondari Nyerere wilayani Iringa wanalazimika kuvunja masomo kila siku kwa madai ya Punda kuingia katika vyumba vya madarasa na kusababisha usumbufu kwao na kwa walimu.

Punda hao wanadaiwa kujenga mazoea ya kwenda shuleni hapo kila siku asubuhi kama ilivyo kwa wanafunzi.

Punda ni miongoni mwa wanyamakazi, ambao hufugwa kwa lengo la kusaidia shughuli mbalimbali na hasa katika suala la ubebeji wa mizigo, licha ya baadhi ya makabila – nyama ya Punda kuitumia kama ni...

 

11 years ago

Habarileo

Sekondari Dar yageuza wikiendi siku za masomo

WANAFUNZI wa Shule ya Seminari ya Kiislamu ya Mivumoni jijini Dar es Salaam, husoma kwa siku tano kama kawaida, lakini `wikiendi’ yao huwa siku za Alhamisi na Ijumaa. Hii ina maana kuwa siku za masomo huanza Jumamosi na kuendelea Jumapili, Jumatatu hadi Jumatano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wakatisha masomo

SHULE ya sekondari Hunyari iliyoko katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na changamoto ya utoro mkubwa wa wanafunzi kutokana na baadhi yao kukatisha masomo kwa kuo, kuolewa na wengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani