Sekondari Dar yageuza wikiendi siku za masomo
WANAFUNZI wa Shule ya Seminari ya Kiislamu ya Mivumoni jijini Dar es Salaam, husoma kwa siku tano kama kawaida, lakini `wikiendi’ yao huwa siku za Alhamisi na Ijumaa. Hii ina maana kuwa siku za masomo huanza Jumamosi na kuendelea Jumapili, Jumatatu hadi Jumatano.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2Maqbh*Nh5fze6mqGDr3P7qIvFiz9Gd9L352X3Z*xI25f*mWRERyUS7VIP3pUpyNV6hIdembnKjysbjJ3p27gSkzLa5/001.KINYEREZI.jpg?width=650)
SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR ES SALAAM YAUNGANISHIWA VIFAA MAALUM VYA KUJIFUNZIA MASOMO KUPITIA KOMPYUTA
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-mCABlcZ-rgo/VLT-IjjD9wI/AAAAAAAAPEg/_iMI8xN-920/s72-c/fastjet.jpg)
FASTJET YAKUMBWA NA DHORUBA ANGANI, YASHINDWA KUTUA SONGWE YAGEUZA NA KURUDI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-mCABlcZ-rgo/VLT-IjjD9wI/AAAAAAAAPEg/_iMI8xN-920/s640/fastjet.jpg)
Kiasi cha cha abiria 131 wakiwemo wanawake, vikongwe na watoto, waliokuwa wakisafiri na ndege ya Fastjet, kutoka jijini Dar es Salaam kwemda jijini Mbeya, walikumbwa na taharuki, baada ya ndege hiyo kushindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe, jijini humo, na kubaki ikizunguka tuu kwenye anga la jiji hilo kwa dakika kadhaa.
Hali mbaya ya hewa na ukungu mzito, vimeelezwa kuwa ndio chanzo cha ndege hiyo kushindwa kutua na hata rubani alipofanya majaribio mara mbili ya kutua...
9 years ago
StarTV24 Oct
Punda wakwamisha masomo Shule Sekondari Nyerere
Wanafunzi wa shule ya sekondari Nyerere wilayani Iringa wanalazimika kuvunja masomo kila siku kwa madai ya Punda kuingia katika vyumba vya madarasa na kusababisha usumbufu kwao na kwa walimu.
Punda hao wanadaiwa kujenga mazoea ya kwenda shuleni hapo kila siku asubuhi kama ilivyo kwa wanafunzi.
Punda ni miongoni mwa wanyamakazi, ambao hufugwa kwa lengo la kusaidia shughuli mbalimbali na hasa katika suala la ubebeji wa mizigo, licha ya baadhi ya makabila – nyama ya Punda kuitumia kama ni...
9 years ago
StarTV03 Sep
Fahamu kisa halisi cha Wanafunzi Geita Sekondari kusimamishwa masomo.
Wanafunzi wa Shule ya kiislamu ya Geita Sekondari wamesimamishwa masomo baada ya kumkataa Mkuu wa Shule hiyo Daud Odulu kwa madai ya kutumia madaraka yake vibaya na kutoa amri za wanafunzi kupigwa na mlinzi wa shule hiyo watakapoonekana nje majira ya kuanzia saa tatu usiku.
Mwalimu Odulu anadaiwa kuwa ndio chanzo cha kusababisha mwanafunzi mmoja aitwaye Fadhili Zuberi wa kidato cha nne kupigwa na rungu kichwani na Mlinzi na kusababisha hali yake kuwa mbaya na kupelekwa Hospitali ya Wilaya...
11 years ago
Bongo508 Aug
Dogo Janja apiga chini masomo ya sekondari, aamua kusomea muziki
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
TIPER yasaini makubaliano kuchangia vitabu vya masomo ya sayansi Shule ya Sekondari Vijibweni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni inayoifadhi mafuta ya Tanzania, Tanzania International Petroleum Reserves Ltd (TIPER), Bw Daniel Belair, akikabidhi vitabu vya sayansi vikiwemo vya Fizikia, Baolojia na Kemia kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Vijibweni, Bw Itumbo Kinyonyi wakati wa sherehe ya kusaini makubaliano yatakayoiwezesha kampuni hiyo kuchangia vitabu 200 vyenye thamani ya Shilingi milioni nne kwa shule hiyo iliyopo eneo la Kigamboni wilaya ya Temeke. Shughuli hiyo ilifanyika jana katika...
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Wanafunzi Ileje kukosa masomo kwa siku 21
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxgTrYw8IcmLBJWXQgOeHdLezNpHgyRZ8kc8csZjWUOsqan6BWdI31F3iAHHbWhrsulE7PmtUZsmlgG-WAQaWoVWR6sFoEdV/darlive.jpg?width=650)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EDwaTWZ8SxY/VlnLCR6BDXI/AAAAAAAII2E/nYj5qkeU-fo/s72-c/IMG_3093.jpg)
wadau wa spur steak ranches ya IT plaza Dar es salaam wanawatakia wikiendi njema
![](http://4.bp.blogspot.com/-EDwaTWZ8SxY/VlnLCR6BDXI/AAAAAAAII2E/nYj5qkeU-fo/s640/IMG_3093.jpg)