Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dogo Janja apiga chini masomo ya sekondari, aamua kusomea muziki

Rapper wa Arusha aliyerejea tena Tip Top Connection, Dogo Janja amedai kuwa haoni umuhimu wa kuendelea na masomo ya sekondari na hivyo ameamua kusomea muziki. Akizungumza na Bongo5 jana akiwa jijini Mwanza kwaajili ya Serengeti Fiesta 2014, Dogo Janja amedai kuwa tayari ameshaanza mafunzo ya kutumia vyombo vya muziki kama vinanda. “Mimi napenda sana muziki, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nje ya muziki mimi ni mfanyabiashara — Dogo Janja

Dogo Janja anafanya muziki, lakini kutokana na biashara ya muziki kuwa haina uhakika wa lini msanii ataingiza kiasi gani kama ilivyo kwa wafanyakazi wenye uhakika wa mshahara kila mwisho wa mwezi, anacho kitu kingine ambacho anakifanya kumuongezea kipato. Janjaro ambaye anafanya kazi chini ya Madee na Tip Top Connection, amesema kuwa anafanya biashara ndogo ndogo […]

 

11 years ago

GPL

DOGO JANJA ABWATUKA, KISA MAPENZI

 Na Gladness Mallya MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ (19) amewataka watu wanaomsema vibaya kuhusu kuwa na uhusiano wa kimapenzi wamuache kwani anaonesha urijali wake. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ (19). Akistorisha na paparazi wetu, Dogo Janja alisema tangu aliponaswa akiwa na demu wake amekuwa akisikia maneno ya kila aina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Janja aanza kufanyia kazi Arusha

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’, amesema kwa sasa atakuwa anafanya kazi zake za muziki jijini Arusha kutokana na mashabiki wengi wa Dar es Salaam...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Janja arejea Tip Top Connection

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ amerejea tena jijini Dar es Salaam katika kundi la Tip Top Connection baada ya kuwa mbali na kundi hilo...

 

11 years ago

GPL

DOGO JANJA SHULE NDIYO KILA KITU

Abdulaziz Chende 'Dogo Janja' kutoka Ngarenaro. ABDULAZIZ Chende ndilo jina lake halisi alilokuja nalo jijini Dar es Salaam akitokea Ngarenaro, kule mjini Arusha, lakini wajanja wa mjini wakambatiza kama Dogo Janja, ambalo kwa kweli limemkaa vyema. Ni bwana mdogo kweli, siyo tu kwa umri, bali hata sanaa aliyoichagua. Ni kijana ambaye kwa jinsi watoto wa Dot.com walivyo, alistahili kuwa kidato cha kwanza, pili au hata cha tatu....

 

11 years ago

CloudsFM

DOGO JANJA AFUNGUKA SABABU ZA KUACHA SHULE

Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janjaro ambaye aliwahi kuwa kwenye kundi la TipTop Connection baada ya kutofautiana na Madee hadi akafunguka kwenye media kuwa alikuwa ananyonywa,lakini sasa hivi amerudi tena kwenye kundi hilo na hivi karibuni alipafomu kwenye jukwaa la fiesta jijini Mwanza.
Msanii huyo mwaka juzi alikuwa anasoma katika shule fulani ya sekondari jijini Dar, lakini hivi karibuni pia alifunguka rasmi kuwa ameamua kuachana na masomo ya sekondari akiwa kidato cha pili kwa kile...

 

11 years ago

GPL

DOGO JANJA, ASLAY WAVUNJA UCHUMBA WA MTU MTWARA

Na Chande Abdallah na Nyemo Chilongani
MADOGO wanaotikisa katika ulimwengu wa muziki Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ na Asilahi Isihaka ‘Aslay’ wamedaiwa kuvunja uchumba wa jamaa aliyefahamika kwa jina la Fikiri Chodas na Farida. Asilahi Isihaka ‘Aslay’. Tukio hilo lilitokea usiku wa Machi 7, mwaka huu, Newala mkoani Mtwara wakati wasanii hao walipokuwa wamekwenda kufanya ziara ya...

 

9 years ago

Bongo5

Ni marafuku wa Dogo Janja kufanya haya kwa wazazi wake

Dogo Janja hawezi kutoboa masikio au kujichora tattoo kama wasanii wengi wanavyofanya – lasivyo hatoweza kukanyaga kwao! Rapper huyo wa Arusha amesema akithubutu kufanya hivyo atakuwa ameikosea sana familia yake. “Baba yangu na mama yangu wakati naingia kwenye muziki waliniambia fanya muziki lakini usije ukatoboa masikio, usije ukachora tattoo,” alikiambia kipindi cha Siz Kitaa cha […]

 

9 years ago

Bongo5

Dogo Janja: Naogopa kumwanika mpenzi wangu kwenye mitandao

Rapper wa Tip Top Connection, Dogo Janja amesema yeye ni miongoni mwa watu ambao hawawezi kuwaweka wazi wapenzi wao kwenye mitandao. Dogo Janja ameiambia Bongo5 kuwa kitu anachoogopa ni kuanza kutupiana maneno wakati wanapoachana. “Unajua mapenzi ya kwenye mitandao ukigombana tu na mpenzi wako au mkikosana, watu wataanza kutupiana maneno ingawa kwa watu wengine haitokei,” […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani