Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wadau wa spur steak ranches ya IT plaza Dar es salaam wanawatakia wikiendi njema

Wadau wakubwa wa Globu ya Jamii wanaohudumu katika mgahawa maridadi wa Blue Rock Spur ndani ya Spur Steak Ranches iliyoko IT Plaza katikati ya jiji la Dar es salaam wnawatakia wadau wenzao wote wikiendi njema huku wakikubaribisha kupata steki za uhakika hasa katika msimu huu wa mahafali. Leo walikuwa na sherehe ya mahafali ya mtoto Sellah aliyehitimu Kindergarten School pale Shule ya St. Joseph ambapo walimwandalia keki na kumuimbia nyimbo za pongezi.  Cheki video...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS ALIPOKUTANA NA MADEREVA UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na madereva wa mabasi pamoja na kuwaanga madereva hao katika hoteli ya Blue Peal jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS ALIPOKUTANA NA MADEREVA LEO UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutuba madereva kwenye mkutano uliofanyika leo Jumamosi Octoba 3, 2015 jijini Dar.

 

9 years ago

Mwananchi

Habari njema!: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sasa kusimamia sanaa

Kwa muda mrefu sasa, Tanzania imeonekana kukua katika nyanja mbalimbali za sanaa. Muziki wake umekuwa ukisikika katika mataifa mbalimbali duniani na hivyo kutoa nafasi hata kwa wasanii wake kwenda kufanya kazi huko.

 

9 years ago

Michuzi

MWANAMUZIKI ROBERTO AMARULA KUTOKA ZAMBIA KUTUMBUIZA DAR ES SALAAM, DODOMA KATIKA TAMASHA LA INSTAGRAM WIKIENDI HII

Mwanamuziki na mtangazaji wa redio, Roberto Chindaba Banda 'maarufu Roberto Amarula kutoka nchini Zambia (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana , kuhusu onyesho lake atakalolifanya leo katika fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam na kesho ukumbi wa Ngalawa Pub mkoani Dodoma katika Tamasha la Instagram Party Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Freconic Ideaz, Fred Ngimba ambao wamemleta msanii huyo hapa nchini kwa kushirikiana na...

 

10 years ago

Vijimambo

UFUNGUZI WA WARSHA YA WADAU KUHUSU “HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NA UAINISHAJI WA MAHITAJI YA WADAU”, HOTELI YA BLUE PEARL, DAR ES SALAAM, TANZANIA, TAREHE 24 MACHI, 2015

Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Agnes Kijazi ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uanishaji wa matakwa ya wadau,Hoteli ya Blue Pearl, Dar es Salaam, Tarehe 24 Machi 2015.Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa ufafanuzi kwenye warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uanishaji wa matakwa ya wadau,Hoteli ya Blue Pearl, Dar es Salaam, Tarehe 24 Machi...

 

10 years ago

Michuzi

MDAHALO WA KUJADILI UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA UTAKAOFANYIKA KWENYE HOTELI YA BLUE PEARL, UBUNGO PLAZA DAR ES SALAAM JUMAPILI TAREHE 2 NOVEMBA 2014 KUANZIA SAA 9.00 MCHANA MPAKA

      Taasisi ya Mwalimu Nyerere inapenda kutoa taarifa kwamba imeandaa mdahalo wa Pili wenye lengo la kujadili umuhimu  wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba. Mambo ya msingi  yaliyomo katika Katiba hiyo yataainishwa  na kujadiliwa na washiriki wa Mdahalo.  Taasisi ya Mwalimu Nyerere inapenda kusisitiza kuwa lengo la mdahalo si malumbano au makatazo:
 Lengo ni kutoa fursa kwa washiriki wa mdahalo na wananchi kwa ujumla kujielimisha kuhusu...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF YATETA NA WADAU WAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

1Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond Mushi akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Malimu Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam kuzingumzia mambo mbalimbali kuhusu huduma hiyo ya bima ya afya, wadau waliohudhuria katika mkutano huo n kutoka wilaya ya Temeke, Ilala na Kinondoni mkoani Dar es salaam, Lengo kuu likiwa kuhamasisha na wananchi kujiunga na mfuko huo na kufikia asilimia...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA DAWA WAKUTANA JIJI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando akizungumza  na waandishi wa habari juu ya matumizi ya dawa  katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yawe na uwiano sawa,na kuwa na kiwango kinachokubalika Kimataifa. Amesema  mamlaka husika inapaswa kusimamia na wataalam wa dawa ili kuendana na soko  la Jumuiya ya  Afrika Mashariki, leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandisi wa habari kuhusu jinsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani