Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fainali:Barcelona kumenyana na Juventus

Mshambuliaji wa Barcelona raia wa Brazil Neymar anaamini kwamba urafiki wake na Lionel Messi na mshambuliaji Luis Suarez ndio sababu ya mafanikio makubwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FAINALI ULAYA, BARCELONA, JUVENTUS TUMBO JOTO

Straika wa Barcelona, Lionel Messi akionekana mwenye tabasam wakati wa mazoezi na timu yake jana jioni kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Barecelona na Juventus. Neymar Jnr katika mazoezi na timu yake, Neymar atakuwa atacheza mchezo wa kwanza wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Barcelona waishinda Juventus 3-1

Barcelona walitawazwa mabingwa wa Ulaya kwa mara ya tano baada ya kuichapa Juventus mabao matatu kwa moja katika mechi kali ya fainali iliochezwa katika uwanja wa Olimpiki wa Berlin.

 

10 years ago

TheCitizen

Juventus, Barcelona clash for the treble

Berlin. Both Juventus and Barcelona are looking to cap fantastic seasons by completing rare trebles when they meet in the Champions League final at the Olympic Stadium in Berlin today.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya na Sudan kumenyana fainali cecafa

Timu za Kenya na Sudan zimefuzu kucheza fainali za CECAFA 2013 baada ya kushinda mechi zao za nusu fainali

 

10 years ago

BBCSwahili

Fainali:Ghana kumenyana na Ivory Coast

Asamoah Gyan huenda atashiriki katika mechi ya fainali dhidi ya Ivory Coast baada ya kupata nafuu ya jeraha la kiuno.

 

10 years ago

Africanjam.Com

JUVENTUS REJECT €80m POGBA OFFER FROM BARCELONA


Barca directors Ariedo Braida and Alberto Soler flew to Italy for a meeting with Juve director general Giuseppe Marotta on Monday, but their opening bid has been turned downJuventus director general Giuseppe Marotta has confirmed the club have rejected an €80 million bid from Barcelona for Paul Pogba.

On Wednesday, Barcelona directors Ariedo Braida and Alberto Soler flew to Italy for a meeting with Marotta and Bianconeri sporting director Fabio Paratici before making their opening...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA JUVENTUS YATINGA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA BAADA YA KUIONDOSHA REAL MADRID

Mabingwa watetezi wa kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya, timu ya soka ya Real Madrid ya Hispania usiku wa kuamkia leo wamevuliwa ubingwa huo na bibi kizee cha Turin, Juventus ya Italia baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1. 
Katika mchezo huo wa marudiano wa hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, Juventus imesonga mbele kwa idadi ya mabao 3-2. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Italia, Juventus iliifunga Real Madrid magoli 2-1. Katika mchezo wa usiku wa kuamkia leo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani